Mancity yalala,Arsenal na Man U zashinda
Manchester City imepoteza mechi ya pili mfulululizo huku Harry kane akifunga bao lake la kwanza msimu huu na kuiwezesha Tottenham kutoka nyuma na Kuichapa Manchester City mabao 4-1.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Feb
Man U yalala,Arsenal yawika,Chelsea sare
Arsenal ilinusurika dakika za lala salama na kuweza kuishinda Crystal Palace mabao 2-1 na kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Arsenal,Mancity na Man U kuwania FA
Mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot anatarajiwa kuanza katika mechi ya leo ya raundi ya tatu ya kombe la FA dhidi ya Hull City.
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Liverpool,Man City zashinda Man United nje
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp,ameandikisha ushindi wake wa kwanza,huku Man United ikiambulia kichapo mikononi mwa Middlesbrough
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Man U, Man City zashinda kwa tabu
Timu zinazotoka jiji moja la Manchester, Manchester City na Manchester United jumamosi zilishinda mechi zao kwa ushindi mwembamba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rGMS*APS1JQDifAb1McVk1195tUTUbGIuPur4qcq9tCyrge0uL8UrB9QTNncIY9NtgEw6IL2IT8eMNSzydUA-9SL2aYveTdZ/santi.jpg?width=650)
MANCHESTER CITY YALALA NYUMBANI, YACHAPWA 2-0 NA ARSENAL
Santi Cazorla akiifungia Arsenal bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti. Santi Cazorla akishangilia na wenzake. Straika wa Arsenal,…
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
10 years ago
BBCSwahili09 May
Man United,Burnley na Stoke zashinda
Marouane Fellaini alifunga bao la ushindi katika kipindi cha pili cha mechi dhidi ya Crystal Palace na kuipatia Manchester United ushindi wa kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Mancity,Chelsea na Arsenal zawika
Frank Lampard alifunga bao lake la 175 katika ligi ya Uingereza na kuipatia ushindi wa 1-0 timu yake ya Manchester City.
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Arsenal,Mancity na Chelsea uwanjani
Arsenal,Chelsea na Mancity zitajibwaga uwanjani dhidi ya Newcastle,Hull City na Leicester .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania