Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Man U yalala,Arsenal yawika,Chelsea sare

Arsenal ilinusurika dakika za lala salama na kuweza kuishinda Crystal Palace mabao 2-1 na kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mancity yalala,Arsenal na Man U zashinda

Manchester City imepoteza mechi ya pili mfulululizo huku Harry kane akifunga bao lake la kwanza msimu huu na kuiwezesha Tottenham kutoka nyuma na Kuichapa Manchester City mabao 4-1.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yalimwa,Chelsea yatoka sare

Manchester United ilikosa fursa ya kupanda juu na pointi kumi dhidi ya Liverpool baada ya kulazwa mabao matatu bila na kilabu ya Everton.

 

9 years ago

Dewji Blog

Man United na Chelsea zatoka sare, matokeo mengine yapo hapa

manchester-united-vs-chelsea-850x560

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Ligi Kuu ya Wingereza jana usiku imeendelea kwa kuchezwa michezo nane katika viwanja tofauti huku mchezo mkubwa uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni kati ya Manchester United na Chelsea mchezo uliochezwa katika uwanja wa Old Trafford.

Mchezo huo ulisubiriwa na wengi kutokana na hali zilizonazo timu hizo kwa sasa hivyo kuifanya dunia kusubiri mchezo huo kuona nani ataweza kumshinda mwenzake lakini mchezo huo ukaishia kwa sare ya bila kufungana.

Manchester United...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gabon yawika huku wenyeji wakipata sare

Timu ya Gabon ilianza vyema kampeni yake ya kulinyakua kombe la mataifa ya Afrika baada ya kuishinda Burkina Fasso

 

11 years ago

BBCSwahili

Man City Vs Chelsea,Arsenal Vs Liverpool

Droo ya michuano ya kombe la FA imefanywa punde kwa mechi za mchujo wa raundi ya tano. Man City watakutana na Chelsea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa

Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupitia mchezo mzuru wa timu yake Sunderland.

 

9 years ago

Mwananchi

Arsenal, Man City zatesa, Chelsea, Liverpool zachapwa

Ilikuwa siku njema kwa Arsenal, Manchester City na mbaya kwa mabingwa watetezi, Chelsea pamoja na Liverpool baada ya kupoteza mechi zao za Ligi Kuu England jana.

 

10 years ago

GPL

MAN CITY, CHELSEA, ARSENAL ZAFANYA KWELI EPL

Straika wa Manchester City, Sergio Aguero akiifungia timu yake bao la kwanza. Pablo Zabaleta akishangilia bao la tatu aliloifungia Man City kwa staili ya kuweka mpira tumboni ikiwa ni ishara ya ujauzito…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani