Man United na Chelsea zatoka sare, matokeo mengine yapo hapa
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Ligi Kuu ya Wingereza jana usiku imeendelea kwa kuchezwa michezo nane katika viwanja tofauti huku mchezo mkubwa uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni kati ya Manchester United na Chelsea mchezo uliochezwa katika uwanja wa Old Trafford.
Mchezo huo ulisubiriwa na wengi kutokana na hali zilizonazo timu hizo kwa sasa hivyo kuifanya dunia kusubiri mchezo huo kuona nani ataweza kumshinda mwenzake lakini mchezo huo ukaishia kwa sare ya bila kufungana.
Manchester United...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Wadhamini wa jezi wa Man United, Adidas watoa ya moyoni, yapo hapa
Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas, Herbert Hainer.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Wadhamini wa Manchester United ambao ndiyo wanaoitengenezea klabu hiyo jezi, Adidas wametoa maoni yao kuhusu mwenendo wa klabu hiyo na kusema kuwa hawafurahishwi na aina ya uchezaji ya klabu hiyo ambayo wanaamini haiwavutii mashabiki wa soka.
Kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Ujerumani ambayo imeingia mkataba na Manchester United wa miaka 10 wenye thamani ya Pauni Milioni 750 wameyasema hayo kupitia...
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Man United yalimwa,Chelsea yatoka sare
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Kilichojiri Old Trafford kati ya Man United Vs Chelsea, kutana na matokeo ya mechi za EPL (+Pichaz&Video)
Michezo 8 ya Ligi Kuu Uingereza imechezwa leo Jumatatu ya December 28, ikiwa ni muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Uingereza, mechi ambayo ilikuwa inapewa nafasi kubwa na hisia za mashabiki wengi wa soka, ni mchezo kati ya Man United dhidi ya klabu ya Chelsea iliyomtimua Jose Mourinho hivi karibuni na kumpa kibarua cha muda […]
The post Kilichojiri Old Trafford kati ya Man United Vs Chelsea, kutana na matokeo ya mechi za EPL (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
StarTV27 Oct
Man Utd, Chelsea hakuna mbabe, zatoka 1-1.
Nchini England Manchester United walitoka sare ya goli 1 -1 na Vijana kutoka darajani Chelsea katika uwanja wa Old Trafford.
Haikuchukua muda mwingi punde tu baada ya kuanza kwa kipute hicho, mchezaji mkongwe Didier Drogba akawainua mashabiki wa Chelsea baad ya kufunga goli zuri la kichwa.
Goli hili liliweza kudumu hadi dakika za nyongeza za mchezo huo na kuwapa matumaini mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa wangekusanya point zote tatu kutoka kwa Man U.
Dakika ya 93 ya mchezo Mholanzi...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Man United yatupwa nje UEFA, matokeo ya michezo mingine ipo hapa na ratiba ya michezo ya leo jumatano
Baadhi ya wachezaji wa Manchester United wakitoka uwanjani kwa udhuni baada ya kumalizika kwa mchezo huo hiyo jana..
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea hapo jana kwa michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwa makundi manne na haya ndiyo matokeo ya michezo hiyo;
GROUP A;
Paris Saint-German 2 – 0 Shakhtar Donetsk
Real Madrid 8 – 0 Malmo
GROUP B;
Wolfsburg 3 – 2 Manchester United
PSV Eindhoven 2 – 1 CSKA Moscow
GROUP C;
Benfica 1 – 2 Atletico Madrid
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Man United yatoka sare
10 years ago
BBCSwahili21 Feb
Man U yalala,Arsenal yawika,Chelsea sare
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Fulham yatoka sare na Man United 2-2
9 years ago
MillardAyo17 Dec
TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..
Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]
The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.