Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji azua hofu kwa wachezaji Yanga

Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kutangaza kutogombea tena nafasi hiyo, wachezaji wa timu hiyo wameomba kuonana naye.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Welbeck azua hofu England

Timu ya England imepata mshituko baada ya nyota wake, Danny Welbeck kuumia juzi wakati wa mazoezi kujiandaa kwa mchezo wao wa kwanza wa Fainali za Kombe la Dunia Jumamosi dhidi ya Italia.

 

10 years ago

Michuzi

Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!

KOCHA wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo amewaaga rasmi leo asubuhi wachezaji wa timu hiyo kwenye mazoezi uwanja wa Sekondari ya Loyola huku akitarajia kuvuna zaidi ya Milioni 20 ndani ya klabu hiyo ikiwa ni mshahara wake wa dola 1200 na yupo kwenye harakati za kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na kuletwa mrithi wake kabla uongozi wa klabu hiyo haujamaliza nae.
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara

>Mbeya City, Prisons na Stand United ndizo timu pekee ambazo hazina mchezaji yeyote aliyewahi kucheza Yanga au Simba katika vikosi vyao msimu huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maumivu Nani Mtani Jembe sasa yahamia kwa wachezaji Yanga SC

JINAMIZI la mechi ya Nani Mtani Jembe bado linaiandama Yanga, ambapo baada ya uongozi wa klabu hiyo kulipiga chini benchi lote la ufundi, sasa wamehamia kwa wachezaji na kumpiga ‘stop’...

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake  na  Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa  uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

Manji ajitoa Yanga SC

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji. Na Hans Mloli
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, ametangaza rasmi kutowania tena nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaotangazwa baadaye mwakani. Manji alichukua wadhifa huo mwaka jana baada ya kuondolewa kwa aliyekuwa Mwenyekiti, Lloyd Nchunga, aliyekuwa amebakiza miaka miwili ya uongozi wake klabuni hapo. Manji ambaye pia ni mfadhili wa klabu hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manji aibuka Yanga

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, ameibuka na kudai kuwa kutokuwepo kwake nchini ndiyo sababu ya kutokea kwa maneno ya hapa na pale, huku akiwafuta uanachama wanachama sita na tawi moja....

 

10 years ago

Mwananchi

Tigana: Manji tatizo Yanga

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Manji kutogombea uenyekiti Yanga

Wakati Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji akitangaza kutokugombea tena nafasi hiyo, Katibu Mkuu wa Yanga, Laurance Mwalusako amefungashiwa virago ndani ya klabu hiyo na nafasi yake sasa kuchukuliwa na Benno Njovu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani