Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manowari zaitisha Sweden

Jeshi la Maji la Sweden limesonga mbele zaidi katika eneo la maji la mji wake wa Stockholm kuisaka manowari ikutoka urusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uchina kuunda manowari ya pili

Uchina imesema inaunda manowari ya pili yenye uwezo wa kubeba ndege, ikitumia teknolojia kutoka nchini humo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kutuma manowari kukabili Islamic State

Ufaransa imesema itatuma manowari yake kubwa zaidi ya kivita kusaidia katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji wa Islamic State (IS) nchini Syria na Iraq.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.  Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden  kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.   Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sweden yachunguza mauaji

Polisi wa Sweden wanaendelea kuchunguza ili kufahamu iwapo mwanamume aliyekuwa amefunika uso wake aliyewaua watu wawili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msikiti washambuliwa Sweden

Polisi nchini Sweden wanamtafuta mshukiwa mmoja katika kile ambacho wanamini kuwa shambulizi jengine kwenye msikiti.

 

11 years ago

Mwananchi

Sweden kufadhili umeme Ludewa

Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, haimo katika utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Umeme Vijijini awamu ya pili chini ya Ufadhili wa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

 

10 years ago

BBC

Barrow picks The Gambia not Sweden

Swansea City winger Modou Barrow confirms that he will play international football for The Gambia rather than Sweden.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sweden yaipa Zanzibar bil.11/-

SERIKALI ya Sweden imetiliana saini mkataba wa sh. bilioni 11na Serikali ya Zanzibar kwa ajili ya kuisaidia miradi ya maendeleo ikiwemo nishati.  Mkataba huo ulisainiwa na Katibu mkuu wa Wizara...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kliniki ya wanaume waliobakwa Sweden

Hospitali moja mjini Stockholm nchini Sweden inatarajiwa kufungua kliniki ya kwanza ya wanaume waliobakwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani