Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manusura waendelea kutafutwa Nepal

Makundi ya uokoaji yamefanya kazi nchini Nepal, kutafuta manusura baada ya tetemeko baya la ardhi lililokumba nchi hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Matumaini ya manusura yadidimia Nepal

Matumaini yanadidimia nchini Napal ya kuwapata manusura zaidi , baada ya kutokea kwa tetemeko baya la ardhi wiki moja iliyopita .

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege iliyopotea kuendelea kutafutwa

Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya zoezi hilo kusitishwa kwa muda.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Malaysia Kutafutwa eneo lipya

Australia imeanza kutafuta mabaki ya ndege ya Malaysia katika eneo lipya baada ya kupata habari za kuaminika

 

10 years ago

StarTV

Theluthi mbili yaanza kutafutwa Dodoma.

UPIGAJI kura kupata Katiba Inayopendekezwa, unatarajiwa kuanza leo ambapo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walio bungeni na nje ya Bunge, watapiga kura ya kuikubali, au kuikataa kwa njia ya wazi na siri.

Kwa wajumbe watakaokuwa nje ya ukumbi huo, wakiwemo watakaokuwa nje ya nchi, tayari utaratibu wa kupiga kura popote walipo kwa njia ya nukushi (faksi) na intaneti, umeshaandaliwa.

Akizungumza bungeni juzi wakati wa kuhitimisha mjadala wa mapendekezo ya mabadiliko ya Rasimu katika Katiba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Matuamini ya kupata manusura yadidimia

Waokoaji katika bahari ya Mediterranean wamesema kuwa hawatarajii kupata manusura zaidi kutoka mashua iliyozama ikiwa imewabeba takriban wahamiaji 600 katika pwani ya Libya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Manusura wa Auschwitz waionya dunia

Manusura wa mauaji ya kimbari katika kambo ya Auschwitz wameihimiza dunia kutoruhusu uhalifu wa mauaji hayo ya Holocaust.

 

11 years ago

Mwananchi

Washauri kutafutwa vyanzo vipya vya fedha

Wajumbe wa Baraza la Wakilishi wameishauri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutafuta vyazo vyake vya fedha vitakavyoondoa utegemezi wa wahisani uliopo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Manusura wa mgodi TZ walikula 'mende na vyura'

Manusura wa mgodi nchini Tanzania walikula mende,vyura na hata wadudu wengine ili kuweza kuishi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Manusura waanza kutoa Ushahidi Korea K

Wanafunzi walionusurika kifo ferry ilipozama mwezi Aprili Korea Kusini sasa wameanza kutoa ushahidi wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani