Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONESHO SIKU YA MAZINGIRA JIJINI TANGA

Wasanii wa kikundi cha wanawake Mkoani Tanga wakiburudisha katika maonyesho ya wiki ya siku ya mazingira mkoani katika viwanja vya Tangamano kwa ngoma maarufu mkoani humo ya msanja.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Binilith Mahenge akihojiwa na waandishi wa habari katika viwanja vya Tangamano wakati wa maonyesho ya wiki ya mazingira duniani inayofanyika jijini Tanga.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya Mazingira Kitaifa kufanyika Mkoani Tanga, Juni 5 mwaka huu

PIX-1-2Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge (Pichani)

 

NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea  kukabiliana na changamoto za uharibifu  wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji  wa mipango ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya  maadhimisho ya Siku ya Mazingira...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA


Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF), Chiku Said akiwasikiliza wateja waliofika katika banda la NSSF kwa ajili ya kupata elimu na uandikishwaji. Kwa sasa shirika lina aina mbili ya uachama yaani wanachama wa hiari na ule wa kawaida. Katika kuhakikisha shirika linapanua huduma zake za hifadhi ya jamii ya watanzania wengi, NSSF imekuja na mpango maalum wa kuandikisha na kukusanya michango kwa wakulima , wajasiriamali, wachimbaji madini wadogo na wafanyabiashara ndogondogo.

 

10 years ago

Michuzi

MH. SITTA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA JIJINI TANGA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta (Mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen, Mbazi Msuya alipokua akiwasili kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga wakati wa maonyesho ya Wiki ya Mazingira Duniani Juni 3, 2015 Mkurugenzi wa wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen, Mbazi Msuya Akitoa maelezo ya moja ya DVD ya majanga mbalimbali ya maafa kwa mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta alipo tembelea...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, MKOANI TANGA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya Tangamani, mkoano Tanga leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mazingira wa Ofisi yake, Dkt. Julius Ningu, wakati alipotembelea kwenye banda la maonyesho la Ofisi ya Makamu wa Rais, kwenye Sherehe za...

 

11 years ago

Michuzi

MSD YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA SIKU YA MALARIA DUNIANI KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Huduma kwa Wateja wa Bohari ya Dawa (MSD), Kanda ya Dar es Salaam, Florida Sianga (wa pili kulia), akiwaelekeza jambo waandishi wa habari waliotembelea banda la MSD katika maonesho ya Siku ya Malaria Duniani yaliyofanyika Kitaifa Hoteli ya Hyatt Dar es Salaam leo.Waliokaa kutoka kushoto ni Balozi wa malaria wa MSD, Lameck Kipiliango na Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja wa MSD, Idd Abeid. Balozi wa Malaria wa MSD, Lameck Kipiliango (kushoto), akizungumza na wanahabari (hawapo...

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

11 years ago

Michuzi

MAGEREZA MKOA WA TANGA YAANZA MAANDALIZI YA UKARABATI WA OFISI MPYA ZA UTAWALA, JIJINI TANGA

Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga, Naibu Kamishna wa Magereza Edither Malya(wa pili kulia) akielezea hatua mbalimbali za Maandalizi ya ukarabati wa Jengo la Ofisi za Utawala za Magereza Mkoa wa Tanga(wa kwanza kulia) ni Afisa Habari wa Jeshi la Magereza, Mkaguzi wa Magereza Deodatus Kazinja alipotembelea kujionea hatua mbalimbali za ukarabati unaoendelea leo Februari 7, 2014 Jijini Tanga. Muonekano wa mbele wa Jengo la Kikoloni ambalo linalotarajiwa kukarabatiwa kwa ajili ya Ofisi za...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA

 Muuguzi, Elionora Mmasi akiwapima wanachama wa NSFF waliotembelea banda lao wakati wa maonesho ya pili ya kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.

Baadhi ya watu waliofika katika banda la NSSF wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Shirika hilo kuhusu Fao la Matibabu wakati wa maonesho ya pili wa kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Wanawake wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akimpa zawadi mhandisi mwanamke kijana katika kampuni hiyo, Irene Lema  katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement  kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga. Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke hodari na mwenye mfano wa kuigwa wa kampuni hiyo, Rosemary Kashaga  Juma katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani