Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Athari za mafuriko Dar ni za kujitakia

>Tangu juzi wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake wamekuwa katika wakati mgumu kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mafuriko Dar es Salaam ni ushahidi wa athari za mabadiliko ya tabianchi

MAFURIKOHali ya mafuriko kama inavyoonekana eneo la Jangwani  katika kuingia katikati ya jiji la Dar es Salaam, Tanzania.

Mvua zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo ni janga kubwa duniani kwa sasa. Haya yalisemwa na FORUMCC; shirika linalijihusisha na masuala ya mabadiliko ya Tabianchi. Watu zaidi ya 12...

 

10 years ago

Vijimambo

FORUMCC: MAFURIKO DAR ES SALAAM NI USHAHIDI WA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI

Mvua zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo ni janga kubwa duniani kwa sasa. Haya yalisemwa na FORUMCC; shirika linalijihusisha na masuala ya mabadiliko ya Tabianchi.
Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kupoteza maisha mpaka sasa kutokana mafururiko hayo ambayo yameibua hisia na maswali mengi kutoka kwa...

 

10 years ago

GPL

MAFURIKO YAACHA ATHARI KUBWA KWA WAKAZI WA JANGWANI, DAR

Hivi ndivyo hali halisi ilivyo katika eneo hilo. Mjumbe wa serikali ya Mtaa wa Charambe, Bi. Mwajabu Hamad ambaye ni mmoja wa waathirika wa mafuriko akiwa nje ya nyumba yake. Kitanda na baadhi ya vyombo vikiwa vimesalia.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais afanya ziara ya kukagua athari za mafuriko Dar na maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Mpiji

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam, lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini, wakati Makamu alipofanya ziara hiyo ya kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo Aprili 13, 2014. (Picha na OMR).

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa wilaya ya Kinondoni kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Tegeta wilayani Kinondoni kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda pamoja na...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani