Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: CCM inatambulisha mgombea kwa wanachama au wapigakura?

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana imebariki mikutano ya hadhara inayofanywa na Chama cha Mpinduzi (CCM) kwa kivuli cha kumtambulisha Dk John Magufuli, ambaye ameteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mgombea ccm avuna wanachama wa ukawa

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kupenya ngome ya UKAWA baada ya kuvuna wanachama kutoka matawi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kile cha wananchi (CUF), katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam.

Jimbo la Ubungo ni ngome ya UKAWA, na linatetewa na CHADEMA ambacho kililitwaa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, na pia kilishinda mitaa mingi ya jimbo hilo katika uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa.

CCM imepenya ngome hiyo ya UKAWA baada ya mgombea Ubunge wa chama...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WANACHAMA UWT DODOMA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo.Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wakiwa katika mkutano na mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu jana katika Ukumbi wa NEC ofisi za makao Makuu ya CCM Dodoma. Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wakiwa katika mkutano na mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu jana katika Ukumbi wa NEC ofisi za makao Makuu ya CCM Dodoma.Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Pongezi CCM kumpata mgombea urais

>Hayawi, hayawi yamekuwa. Chama cha Mapinduzi (CCM), jana kilifanikiwa kumpata mgombea wake atakayepeperusha bendera yake katika kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mgombea huyo, Dk John Magufuli alichaguliwa na Mkutano Mkuu jana naye alimteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea Mwenza CCM avunja ngome ya ACT Tanga, avuna wanachama 272 wa upinzani

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo.  Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wanaCCM na wananchi...

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA MWENZA CCM AVUNJA NGOME YA ACT TANGA, AVUNA WANACHAMA 272 WA UPINZANI‏

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. … ...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani


Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wanaCCM na wananchi waliojitokeza...

 

9 years ago

Michuzi

PONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA

TAWI LA CCM CHINA TUNAKUPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA NA MAFANIKIO KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA JUU WA NCHI YETU.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani