Maonyesho ya Harusi Trade Fair 2015 kufanyika Machi 13-14 ndani ya Danken House
Meneja Biashara wa 361 degree, Hamis Omary (wa pili kutoka kulia) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa utambulisho huo.
…Vinywaji vya Baileys & Johnnie Walker Gold Label wajitokeza kudhamini
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Maonyesho ya siku mbili ya Harusi Tanzania maarufu kama ‘Harusi Trade Fair 2015’, yanayotarajiwa kufanyika Machi 13-14 mwaka huu katika ukumbi wa Danken House, uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Wakiongea na wandishi wa habari mapema jana Machi...
Dewji Blog
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania