Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARIA JIMMY KASANGA KALA NONDO


Maria Jimmy Kasanga kala nondo ya Bachelors of Communication huko Australia University of Southern Queensland hapa Maria akiachia tabasamu la kisomi mbele ya ukodak wa kumbukumbu kwenye siku hiyo muhimu kwa kwake. Vijimambo timu inampongeza na kumtakia kila la kheli.Maria akipata ukodak pamoja na mama yake Lilian Mmary kushotoHapa Maria akipata ukodak wa kumbukumbu na wasomi wenzie




Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BANDARI YA KASANGA MKOANI RUKWA KUANZA KUBORESHWA

Na Saidi Mkabakuli, Sumbawanga
Serikali imeazimia kuanza kuiboresha bandari ya kimkakati ya Kasanga inayohudumia nchi za Burundi, Rwanda na Kongo iliyopo katika Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa.
Ahadi hiyo imetolewa na Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati walipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya miundombinu katika Bandari ya Kasanga.
Bibi Mwanri alisema kuwa serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania imepanga...

 

10 years ago

Michuzi

JIMMY MSAKI OBTUARY

Our dear sweet beloved father, son, brother, uncle and friend – JIMMY DIXON RAMMA MSAKI, Three years since you have passed away on August 28, 2011, after a brave difficult fight.
Our thoughts are ever with you, though you have passed away, and those who loved you dearly are thinking of you today.
Death separates our bodies, but our hearts remain the same Even after you have left our sight in our thoughts your light shines bright until we meet again.
“Do not be anxious about anything, but...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA WANANCHI WAISHIO KANDO KANDO YA BANDARI YA KASANGA,WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na baadhi ya viongozi wa chama Wilaya ya Kalambo,wakikatiza kwenye Ofisi ya CHADEMA,ambayo inadaiwa imefungwa yapata miaka mitatu sasa, kwa kushindwa kulipia pango.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akibeba tofali aliyoifyatua,ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa jengo la CCM,wilayani Kalambo.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kata ya Kasanga,iliopo ndani ya wilaya mpya ya Kalambo,mkoani Rukwa mapema jana jioni.Kinana bado...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jimmy Chansa — We Mchoyo

Hii Video mpya ya msanii Jimmy Chansa wimbo unaitwa “We Mchoyo” video imeongozwa na Kwetu Studio Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Jimmy Chansa — We Mchoyo

Wimbo mpya kutoka kwa msanii mpya anajulikana Jimmy Chansa wimbo unaitwa “We Mchoyo” Producer Lollipop

 

10 years ago

Bongo Movies

Jimmy:Nimeacha Kuvuta Bangi!

Mtayarishaji na mwigizaji wa filamu, Jimmy Mafufu amefunguka kwa kuweka wazi kama alikuwa ni mtumiaji wa kilevi hatari aina ya bangi lakini anashukru Mungu ameacha kutumia kilevi hicho sambamba na sigara na pombe kwani ni Mjukuu wa Askofu Asumwisye Mwaisabila.

“Toka niache kuvuta sigara nina mwezi mmoja nilianza kuacha pombe nikaacha kuvuta Bangi, nakupa ushuhuda unajua mimi ni mjukuu wa Askofu Asumwisye Mwaisabila mwalimu wa watu wa Mungu,”anasema Jimmy.

Jimmy ambaye hajabaisha Babu yake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jimmy Carter asema ana kansa

Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter ametangaza kuwa ana maradhi ya kansa.

 

11 years ago

Politico

Jimmy Carter's disastrous Olympic boycott


Politico
Jimmy Carter's disastrous Olympic boycott
Politico
Muhammad Ali was exhausted as he clambered from a plane on a tarmac in Tanzania as the waiting throng exploded with enthusiasm. “ALI, ALI, ALI,” the crowd chanted. By all appearances, the former champion's arrival in Dar es Salaam looked familiar ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani