MARTHA USO KWA USO NA MHE JOHN BOEHNER
![](http://2.bp.blogspot.com/-PksCYJ1tmok/VMDOVbOQI0I/AAAAAAADWSs/sFWMEIbE0T4/s72-c/unnamed.jpg)
Martha Amos Cherehani, akisalimiana na Speaker wa Bunge la Marekani, Mhe. John Boehner, siku ya Jumanne January 20, 2015 siku Rais Barack Obama alipotoa hotuba ya State Of The Union na Martha alikuwa mgeni mwaalikwa, kuwaakilisha wanafunzi wenzake kwenye mkutano huo wa 114 wa bunge la Marekani. Martha ni mtoto wa wanaDiaspora baba na mama Watanzania wanaoishi DMV.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s72-c/IMG_4507.jpg)
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s1600/IMG_4507.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8H6GfVlCgM/Uz7-cnvggKI/AAAAAAAFYnU/OqrsKaRFM8Q/s1600/IMG_4513.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s72-c/SH100835.jpg)
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s1600/SH100835.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IqQLziTISnk/U8rqnKLDEYI/AAAAAAAF3zc/lKN9ty_gKWs/s1600/images+(1).jpg)
9 years ago
Bongo510 Dec
Diva uso kwa uso na rapper wa Marekani B.o.B, Jumamosi hii
![20151209210051](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151209210051-300x194.jpg)
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse atakutana na rapper wa Marekani, Bobby Ray Simmons, Jr. maarufu kama B.o.B jijini Nairobi, Kenya Jumamosi hii.
Rapper huyo atatumbuiza Nairobi kwenye show ya Jameson Live Party 2015.
Diva amechaguliwa kuwa mmoja wa watu watakaokutana naye kutokana na kuwa na impact kubwa kwenye redio nchini.
“I am so excited,” ameiambia Bongo5.
“B.o.B ni moja kati ya list ya wasanii wa Marekani ambao I listen too. Namuona on BET, Grammys na kwingine, so I can’t wait...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR5yJKw7L0RjXyXxHM4R7-W7K6qulivbhY4r8Uunzajy*rGwmWloyR6cAJ-xWei7YJE7FPsPB24fLov7ykVNKTk4/ss.jpg)
ASKARI POLISI WAGONGANA USO KWA USO NA BODABODA, MORO