MASANJA AWABOMOA WEMA, DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdbPn3l9m01JrOBLxXGJJzNTk4PaIG6um502H6RNfnmjsyoanKSpUfj5UOkgKRXtpcEBXWLkeMg6HkfvjiGzDZXv/WEMA.jpg)
Stori: Shakoor Jongo. COMEDIAN mwenye kofia ya uchungaji kwa sasa, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ hivi karibuni aliwabomoa mastaa wapenzi Nasibu Abdul ‘Diamond’ na ubavu wake Wema Sepetu kwa kuwaandikia waraka mzito unaohusiana na maisha yao ya kila siku. Komedian , Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’. Katika waraka huo, aliouweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, Masanja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s72-c/mkandamizaji.jpg)
SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s640/mkandamizaji.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gOGofQcXL_Q/VCkm55api_I/AAAAAAAAp1E/VjQ9MONSGAE/s640/10578427_497145340388741_1225262629_n.jpg)
10 years ago
Bongo Movies17 Aug
Hatimaye Masanja aamua kufungikia ishu ya Diamond na Wema kwa kuwapa ushauri 'mzito'
Baada ya uhusiano wa diamond na wema kuingia katika misukosuko na diamond kutoa ujumbe mzito kumhusu wema sepetu, mchekeshaj maarufu hapa bongo masanja mkandami ameamua kufua ya moyoni kuhusiana na uhusiano wa wawili hawa.
masanja alisema haya
“Street pastor anasema.. hili swala la diamond na wema nadhani mungu amemuhurumia mmoja wapo kati ya hao wawili. kama wangekuwa watu wa kuoana wangesha oana uchumba gani mrefu kama wanasomea udokta???? rafiki yangu nasib, kama kweli mlipendana kwa...
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)