Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masenza ataka vyama vya siasa vidumishe amani

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Amina MasenzaMKUU wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza ameviomba vyama vya siasa mkoani hapa vidumishe amani na utulivu, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ili wananchi waendelee kushikamana kama ilivyo sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA UCHAGUZI... MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAMBULISHA KAMPENI YA AMANI

Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi (katikati) akizungumza na wanahabari mapema leo, kulia ni msanii wa tungo za kiswahili, Mrisho Mpoto na kulia ni mwimbaji wa nyimbo za Injili, Christina Shusho. Msanii wa nyimbo za asili, Mrisho Mpoto akizungumza wakati wa mkutano huo. TAAARIFA KWA VYOMO VYA HABARI Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, pamoja na majukumu yake ya msingi, inayo pia jukumu la...

 

10 years ago

Mwananchi

Msajili avinyoshea kidole vyama vya siasa, ataka viheshimu Sheria ya Uchaguzi

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitahadharisha vyama vya siasa kuzingatia Sheria ya Gharama za Uchaguzi wakati mchakato wa kutafuta wagombea ukiendelea.

 

10 years ago

Dewji Blog

Msimamizi wa uchaguzi wa EU ataka vyama vya siasa nchini kuwa na dhamira ya kuimarisha demokrasia

xuttynyfcf5zwtk562fe7176465a

Muangalizi Mkuu wa EU EOM, Judith Sargentini, Mbunge wa Bunge la Ulaya akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

DC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi.Mwenyekiti wa Wilaya ya Chama cha Union For Multi Party Democratic (UMD), Abdallah Tumbo akihutubia katika mkutano huo.
Katibu wa Wilaya ya Kinondoni wa Chama cha UDP, Makoye Ikoles, akizungumza katika mkutano huo.Mwenyekiti wa Wilaya wa Chama cha UPDD, Salim Choya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani