Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashine za kuondoa sumu mwilini zapigwa marufuku

BARAZA la Tiba Asili na Tiba Mbadala limepiga marufuku matumizi ya mashine za Quantum na mashine za kuondoa sumu mwilini, kutokana na waganga wanaotumia mashine hizo kutokuwa na uelewa wa kutafsiri majibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIRI YA KUONDOA KOLESTRO MWILINI

KWA kuzingatia kwamba wenye lehemu nyingi mwilini (Bad High Cholestol) huwa katika hatari zaidi ya kupatwa na magonjwa ya moyo, ikiwemo kupooza (stroke), suala la kuhakikisha mwili wako unakuwa na kiwango cha mafuta kinachotakiwa ni la lazima. Siri ya kujiepusha na magonjwa hayo iko kwenye chakula, hususan mboga na matunda, ambayo nimeyaorodhesha katika makala haya ya leo, kama ifuatavyo: CHAI YA KIJANI (GREEN TEA)
Ingawa hata...

 

11 years ago

Mwananchi

Wagundua sumu ya kuua VVU mwilini

Timu ya Watafiti katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, wamegundua aina ya sumu ambayo ina uwezo wa kuua seli ambazo zimekwishaathiriwa na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

10 years ago

GPL

AISHA BUI AHAHA KUONDOA MAKOVU MWILINI

Stori: Imelda Mtema UREMBO! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aisha Bui anahaha huku na kule kusaka dawa ya kuondoa makovu yaliyotokea katika baadhi ya maeneo ya mwili wake.Akizungumza na mwandishi wetu, Aisha alisema makovu hayo aliyapata hivi karibuni alipokuwa akicheza sinema iliyomtaka agalegale chini porini. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akipozi. “Unajua filamu ni kitu ambacho kipo moyoni na nilitaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tabiti zapigwa marufuku Old Trafford

Manchester United imepiga marufuku uingizwaji wa tabiti na komputa za Laptop uwanjani

 

9 years ago

BBCSwahili

Volkswagen zapigwa marufuku Uswizi

Taifa la Uswizi limepiga marufuku kuuzwa kwa magari aina ya Volkswagen ambayo yana mitambo ya iliyotengenezwa kudanganya majaribio ya gesi chafu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za Misri zapigwa marufuku Urusi

Mamlaka ya safari za ndege nchini Urusi imepiga marufuku ndege za shirika la taifa la ndege la Misri kuhudumu Urusi.

 

9 years ago

GPL

VIDEO ZA PSQUARE ZAPIGWA MARUFUKU SOUND CITY TV

KUNDI la muziki la Psquare la nchini Nigeria, lililo chini ya Peter na Paul Okoye,  liliwatangazia mashabiki wake kwamba kampuni ya Soundcity TV imeacha kupiga video zao za muziki. Uamuzi wa kampuni hiyo umetokana na kundi hilo la muziki kutokubali kushirikiana na kampuni hiyo katika ombi la kufanya onyesho mnamo Desemba 2014 hivyo kampuni hiyo kuacha kupiga nyimbo za wanamuziki hao tangu Januari 1, 2015. Ikielezea uamuzi huo,...

 

9 years ago

Mtanzania

Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

Prof-MchomeNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

SERIKALI imepiga marufuku wamiliki wa shule binafsi kupandisha ada kuanzia Januari mwakani.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kutoa tamko la kufuta ada na michango mbalimbali kwa shule zake za msingi na sekondari.

Taarifa ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, profesa Sifuni Mchome, imepiga marufuku shule hizo kuongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia  Januari 2016 hadi hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani