Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashirika yasio ya kiserikali yafutiwa leseni kenya

Serikali ya Kenya imefutulia mbali leseni za mashirika 510 yasio ya kiserikali ikiwemo 15 ambayo yametuhumiwa kuhusika na ugaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mashirika yasio ya kiserikali taabani Kenya

Serikali ya Kenya imefutulia mbali leseni za mashirika 510 yasio ya kiserikali ikiwemo 15 ambayo yametuhumiwa kuhusika na ugaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mashirika yasiyo ya kiserikali yashauriwa

Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayoanzishwa kwa lengo la kusaidia jamii NGOs yametakiwa kutimiza malengo ya kuanzishwa kwake tofauti na ilivyo sasa, ambapo wengi wao wamekuwa hawatimizi majukumu ya mashirika hayo kwa jamii.

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA CCBRT YATEMBELEWA NA MAAFISA WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

HOSPITALI ya CCBRT wametembelewa na Maafisa kutoka ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali hapa nchini, kwa lengo la kujionea kazi zinazofanywa na CCBRT. 
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi, aliwapitisha katika maeneo kadha na vitengo tofauti katika hospitalini hiyo ili kujionea namna wanavyofanya kazi na kuwahudumia watanzania.
Hata hivyo Maafisa kutoka ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali hapa nchini wamefurahishwa na kazi tunazozifanywa ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali imeendelea kujenga mazingira wezeshi kwa ajili ya mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s)

IMG_0214 (1)

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bw. Marcel Katemba akiongea na waandishi wa habari( Hawapo pichani)kuhusu juhudi zinazofanywa na serikali katika kuyajengea mazingira mazuri ya ufanyaji kazi Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) ili kuongeza ushiriki na kutoa mchango wao katika kuleta maendeleo katika  jamii, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jiijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa...

 

9 years ago

Michuzi

KUSUDIO LA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA

TAARIFA KWA UMMA


Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anakusudia kuyachukulia hatua Mashirika yanayoendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. 
Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kulipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya NGOs.Kwa taarifa hii, Mashirika husika yanatakiwa yawe yamerekebisha dosari tajwa...

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI

Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa , Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi, na Specioza Rweyemamu ambaye ni Ispecta katika mambo ya anga katika Mamlaka wa usafiri wa Anga Tanzania, ambao ndio walikuwa wasemaji katika sherehe hizo
  Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi akizungumza na wanafunzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!

1

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).

4

Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yafuta leseni za wakala wa riadha

AK imewapiga marufuku Federico Rosa wa Italia na Gerald Vandeveen wa Uholanzi kwa miezi sita wakishukiwa kuhusika na dawa za kuongeza nguvu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani