MASOGANGE ASHTUSHWA NA USHINDI WA MAKALIO YAKE
Imelda Mtema MODO maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’ ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki. Modo maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’. Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange kuwa ndiye mwanamke pekee...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMASOGANGE APINGA KUFUNIKWA MAKALIO
10 years ago
GPLMAKALIO YAMPAISHA MASOGANGE MAREKANI
9 years ago
GPLMASOGANGE: SIISHI KWA MAKALIO YANGU
11 years ago
GPLMASOGANGE: MAKALIO YANGU NDIYO KILA KITU
10 years ago
GPLMADONNA AONYESHA MAKALIO YAKE KATIKA RED CARPET ZA TUZO ZA GRAMMY 2015
10 years ago
Habarileo30 Oct
JK ashtushwa kifo cha Rais wa Zambia
RAIS Jakata Kikwete ameelezea kuguswa, kushtushwa na kusononeshwa na taarifa za kifo cha Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata kilichotokea juzi Jumanne katika Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77. Katika salamu zake alizomtumia Makamu wa Rais wa Zambia, Dk Guy Scott kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Rais Kikwete amesema:
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...
10 years ago
GPLIDD AZZAN ASHTUSHWA KUPIGWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Msajili Mahakama Kuu ashtushwa na kesi IPTL