MASTAA BONGO WAPEWA SOMO
![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-yre*uwnCtDp*LEEP88o68WxR78JZEk8U1VSVDhmAwS7WfPYbNVGv3m*bFu81-u74gr4MZIbb5qMsZBDVHyQtMg/mastaa.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu MWIGIZAJI wa filamu aliyekuwa akifanya shughuli zake katika nchi mbalimbali Afrika na Ulaya, Adili Matontu amewapa somo waigizaji wa Bongo kwa kuandaa kazi zenye ubora wa kimataifa. Akizungumza na mwandishi wetu, Adili ambaye ni mtanzania, amesema kwa muda mrefu amekuwa akilitazama soko la filamu Bongo likishindwa kuvuka mipaka na tatizo kubwa likiwa ni ubora wa kazi na uhalisia hivyo akaona aoneshe mfano...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi07 Apr
OUT wapewa somo la mapato
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wakuu wa wilaya wapewa somo
10 years ago
Habarileo25 Jun
Maofisa elimu wapewa somo
SERIKALI imetoa jukumu zito kwa wakuu wa shule na maofisa elimu wa kata kusimamia kwa ukamilifu na kufuatilia shughuli za ufundishaji wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu, kuwa zinatekelezwa.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wauguzi nchini wapewa somo
WAUGUZI nchini wametakiwa kufahamu kuwa wao ni nguzo muhimu katika sekta ya afya na kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu, ili waweze kukumbukwa na jamii pindi watakapostaafu. Kauli hiyo ilitolewa...
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Uwaki wapewa somo Kibaha
IMEELEZWA kuwa ukosefu wa uwazi, uwajibikaji na ukiukwaji wa haki za binadamu katika maeneo mbali mbali ya kazi huchangia kwa kiasi kikubwa kukosekana kwa utawala bora. Hayo yalielezwa jana mjini...
9 years ago
Habarileo02 Nov
Wanasiasa walioshindwa wapewa somo
VIONGOZI wa vyama vya siasa ambao wanadhani hawakutendewa haki katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni, wametakiwa kutumia njia za busara, hekima na taratibu za kisheria za kidiplomasia katika kudai haki yao na sio kutaka kuvuruga amani na kusababisha damu kumwagika.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Viongozi wa siasa wapewa somo
ASKOFU Julius Bundala wa Kanisa la PHAM katika Kanda ya Kati ameshauri viongozi wa vyama vya siasa kuacha kuwashinikiza wananchi kiitikadi wakati wanapofikia muda wa kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wahitimu ukocha wapewa somo
WAHITIMU wa mafunzo ya ualimu wa mpira wa miguu wametakiwa kutenga muda wa kufundisha vijana pasipo na kutegemea kupatiwa malipo.