Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATOKEO KUNAKO UCHAGUZI


CCM, Ukawa waporana majimbo
Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo majimbo yaliyokuwa
Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo majimbo yaliyokuwa chini ya wabunge maarufu.

>>>>>>> Wakati CCM ikipora majimbo tisa hadi sasa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani

Bwana Rwasa amesema hakubaliani kabisa na matokeo aliyoyapata, akidai uchaguzi ulitawaliwa na vitendo vya wizi wa kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani