Matukio mbalimbali Bunge Maalum la Katiba Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimwelekeza jambo Mtangazaji wa TBC ONE Bw. Shaaban Kissu wakati akiwasili katika katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Matukio mbalimbali yaliyojiri leo asubuhi mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Naibu Katibu wa Bunge Maalum ambaye ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashillah (mwenye miwani) akibadlishana mawazo na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Matukio katika picha leo Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia) ambaye pia ni mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzie leo 28 Agosti, 2014 katika eneo la Bunge mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma.(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).