Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO MBALIMBALI JIJINI DAR

Hii ni ajali iliotokea maeneo ya Magomeni- Moroco, jijini Dar. Ilihusisha pikipiki na gari hali ambayo ilisababisha foleni kubwa ya magari mengine. Mashabiki wa mpira wa miguu wakinunua tiketi za mechi ya Yanga dhidi ya Al Ahly toka Cairo Misri pembeni mwa kituo cha Uwanja wa Taifa, jijini Dar.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

DAR ES SALAAM LIVE: Kamera ya Modewjiblog ipo mtaani ikikusanyia matukio mbalimbali pichani!

DSC_1346

Taswira ya jengo la Golden Jubilee linavyoonekana kwa mbali katikati ya jiji kama lilivyopigwa picha na mwandishi wa mtandao huu. ( Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

DSC_2525

DSC_2526

Moja ya wachuuzi wa vinywaji akikatiza katika moja ya maeneo ya jirani na ofisi za Habari Maelezo…

DSC_1199

DSC_1200

DSC_1334

DSC_1329

DSC_1318

DSC_1343

DSC_1340

DSC_1286

DSC_1273

Kijiwe maalufu cha wazee wa Mjini ambacho watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wanahabari, wanasheria na watu wengine wamekuwa wakipatikana hapo na kupiga stori mbili tatu.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR

Hizi ni baadhi ya Taswira mbalimbali ndani ya jiji la Dar es Salaam.BOFYA HAPA KUONA TASWIRA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR LEO

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya Barabara ya  mabasi yaendayo haraka ya Morogoro (Strabag) jijini Dar es Salaam.Madereva wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi  wakielewana mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula...

 

10 years ago

Vijimambo

Matukio Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waombolezaji...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Uhaba wa usafiri wahatarisha usalama wa Abiria, kama walivyonaswa na kamera ya mtaa kwa mtaa leo   jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii).

 

10 years ago

GPL

MATUKIO MSIBA WA MAMA DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR‏

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake.  Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.…

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL ILIVYOJICHIMBIA SEHEMU MBALIMBALI JIJINI DAR

Mhubiri wa kidini aliyejulikana kama Hosea Cha Mungu akihubiri sehemu za Ubungo ambako alidai aliwahi kukutana na mwigizaji, marehemu Steven Kanumba huko Lagos, Nigeria kabla hajafa. Wasikilizaji wa hotuba ya Cha Mungu wakionyeshwa baadhi ya picha za wafuasi wa madhehebu ya Freemason.…

 

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA WASANII WA MBALIMBALI WA MUZIKI NA FILAMU YAFANYIKA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion,Amoni Mkoga akizungumza wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na wale wa Filamu iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam 21 Februari-2014. lengo la semina hiyo ilikuwa ni kuzungumzia hakimili kwa wasanii pamoja na kujiunga na mifuko ya jamii ili kujiwekea akiba ya baadae (kushoto), Afisa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafiri Mbibo (watatu kulia), Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani