MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Machi 3, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuchakata nafaka katika kijiji cha Mkata wilayani Handeni Machi 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mkata wilayani Handeni, machi 3, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTAMASHA LA HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMBA 31 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA
5 years ago
CCM BlogZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WILAYANI PANGANI MKOANI TANGA, LEO
11 years ago
MichuziJK KUIFUNGUA BARABARA YA MKATA — HANDENI NA HANDENI — KOROGWE MKOANI TANGA
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZIFUNGUA BARABARA ZA MKATA — HANDENI NA KOROGWE — HANDENI MKOANI TANGA.
11 years ago
Dewji Blog28 May
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walipotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwandishi wa habari...
11 years ago
Dewji Blog19 May
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la Zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo Zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Matukio mbalimbali ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda Mbeya mjini na vijijini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi baada ya kufungua vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari ya Songwe mkoani Mbeya Febrari 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya sekondari ya Iwambe wilayani Mbeya wakati alipofungua na kukagua maabara tatu za shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 25, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Norman Sigalla.
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda kutoka Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa kauli kuhusu mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto , Bungeni mjini Dodoma Novembe 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Fedha,Saada Mkuya (kulia) na Naibu wake, Mwigulu Lameck Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu,...