MATUKIO YA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO 29 SEPTEMBA, 2014 MJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza mjadala ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akisoma taarifa Bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Benard Membe (kulia) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Wajumbe wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Matukio katika picha leo Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia) ambaye pia ni mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzie leo 28 Agosti, 2014 katika eneo la Bunge mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma.(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).
10 years ago
MichuziMATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI