Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji ya Albino ni aibu kwa Tanzania

Raisi wa Tanzania Jakaya Kikwete ameahidi kumaliza kabisa wimbi la mauaji ya Albino,yanayolitia aibu kubwa taifa lake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mauaji ya albino Tanzania

Nalipiga baragumu, nchi yetu Tanzania, Nina moja la muhimu, nataka kusimulia, Naisema Kaumu, kwa nguvu nalikemea, Mauaji ya albino, acheni mbaya dhamira.  

 

10 years ago

Mtanzania

UN yaingilia kati mauaji ya albino Tanzania

zeidGENEVA, USWISI
KAMISHNA wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Zeid Ra’ad Al Hussein, ameitaka Serikali ya Tanzania kuchunguza na kuwashtaki watu waliohusika na uhalifu wa mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Al Hussein amehoji vitendo hivyo kujitokeza wakati nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Tamko hilo alilitoa jana ambapo alilaani vikali mauaji ya mtoto albino Yohana Bahati mwenye umri wa mwaka mmoja.
“Nalaani vikali...

 

9 years ago

Habarileo

‘Tanzania inachukua hatua kukomesha mauaji ya albino’

MWAKILISHI wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Tuvako Manongi amesema, hatua stahiki zinaendelea kuchukuliwa dhidi ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), tofauti na inavyofikiriwa na baadhi ya watu.

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi


Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA


Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.

 

10 years ago

Mtanzania

Wagangambaroni kwa tuhuma za mauaji ya albino

Kadama Malunde, Shinyanga na Renatha Kipaka, Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limewatia mbaroni waganga wa tiba asilia 26 katika Wilaya za Kishapu, Shinyanga na Kahama o kupiga ramli za uchonganishi na kusababisha mauaji ya albino.
Akizungumza na wandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema operesheni ya kuwakamata waganga hao ilianza Machi mosi hadi Machi 9 mwaka huu, na baadhi ya waganga hao wamo wanaojihusisha na mauaji ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani