Mavunde kuwania Dodoma Mjini, Mkotya kugombea Chemba
MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Antony Mavunde na mwanahabari Hamisi Mkotya ni miongoni mwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania Ubunge mkoani hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM,Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa.(Picha na Ramadhan Hassan)Mhariri Msanifu wa gazeti la mtanzania Khamis Mkotya akionesha fomu alizokadhiwa jana katika ofisi za chama hicho Wilayani Kondoa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge katika Jimbo la Chemba. (Picha...
10 years ago
GPLMHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA, KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA, DODOMA
 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa wilaya hiyo CCM, Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa. …
9 years ago
VijimamboMGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO
Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...
Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...
9 years ago
MichuziAnthony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma jijini.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma,Antony Mavunde akionesha fomu alizochukua za kugombea Ubunge katika jimbo hilo nje ya ofisi za Halmashauri ya Dodoma. Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini,Antony Mavunde akipungia mamia ya mashabiki wakati akielekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Dodoma kwekuchukua fomu. Mavunde akifurahia jambo na Wafuasi wake.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia chama cha Mapinduzi,Antony Mavunde akikabidhiwa fomu na Afisa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia chama cha Mapinduzi,Antony Mavunde akikabidhiwa fomu na Afisa...
10 years ago
MichuziPINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma leoWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akizunguza na waandishi wa habari baada ya kurejesha fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma leo Juni 30, 2015.Wapili kulia ni mkewe Tunu na kulia ni mjukuu, michele (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9 years ago
VijimamboBENSON KIGAILA WA CHADEMA, ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE DODOMA MJINI
Mkurungenzi wa Oganezesheni na Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Benson Kigaira akiwa kwenye gari la wazi akipungia wafuasi wa chama hicho, wakati akielekea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge jimbo la Dodoma mjini leo Jumatatu Agosti 17, 2015Kigaila, akipokea fomu kutoka kwa afisa wa CHADEMA mkoani Dodoma, Elizabeth Gumbo
10 years ago
MichuziNyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.Waziri...
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziWanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais mjini Dodoma leo
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Idara ya Oganezesheni Dr Mohamed Seif Khatibu akizungumza na Waandishi wa Habari makao makuu Dodoma kuhushu ratiba ya kuchukua fomu leo Wagombea Urais kupitia Chama hicho aliwataja kuwa ataanza Prof Mark Mwandosya ,Stephen Wasira,Edward Lowasa, balozi Amina Salumu Ali na Charles Makongoro Nyerere na Khatibu ndiye aliyepewa jukumu na Chama hicho kutoa fomu hizo.
Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais katika makao makuu ya chama cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania