MAWAKALA NA WAUZA MAGAZETI WASHEREHEKEA MIAKA 17 YA KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS
![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgZby*-0UTQimzIkw9ph5yeHLcwbLJ-ppNkLSKkz1glyy1szSYnAXa2JKQVpnUGgvebFrAnwdUK-W*nh9D4RZgrP/DARLIVE1.jpg?width=650)
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akizungumza na mawakala pamoja na wauzaji wa magazeti Dar Live leo. Wauzaji na mawakala wa magazeti wakiwa kwenye sherehe hizo. Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho (kulia) akiwa na Ofisa Utawala wa Global, Soud Kivea. MAWAKALA na wauzaji wa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS LEO IMETOA MIAMVULI KWA WAUZA MAGAZETI
Muuzaji wa magazeti wa eneo la Stendi ya Makumbusho akipokea muamvuli. Kushoto ni Afisa Usambazaji wa Global akimkabidi dada muuza magazeti wa eneo la Stendi ya Makumbusho.…
11 years ago
GPLMAWAKALA WA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS WAFANYIWA TAMASHA LA MICHEZO MWANZA
Wauza magazeti wanawake mkoani Mwanza wakichuana katika mbio za magunia. Wauza magazeti wanaume wakimaliza mbio za magunia.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX5HO9vTVfrMrcWcmp6*9nQmipT0iBM5k9GMnm3wlT1BZCzCSJaDsWCwsbCoCmPGwMZ2KkrRFlqjj5ZMtIsUHhte/AfisaUtawalaBw.SoudKiveapamojanamkuuwaIdarayaUsambazajibw.LawrenceKabendewakimkabidhiZawadiyash.lakitanobw.DeoDanielmwenyekit.jpg)
GLOBAL PUBLISHERS YATOA ZAWADI KWA CHAMA CHA WAUZA MAGAZETI
Mkuu wa Idara ya Usambazaji na Masoko Global Publishers Bw.Lawrence Kabende (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya kitita cha shilingi laki tano Mwenyekiti wa Chama cha wauza magazeti cha jijini Dar es…
11 years ago
GPL11 years ago
GPLGLOBAL ILIVYOWAANDALIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI MWANZA
Mwakilishi wa Global Publishers Masumbuko Ali, akizungumza na wauza magazeti wa Jiji la Mwanza. Muuza magazeti akisoma gazeti la Risasi.…
10 years ago
GPLMAOFISA MASOKO WA GLOBAL WATEMBELEA WAUZA MAGAZETI DAR
Maofisa wa Global sambamba na wasomaji wa magazeti wakiwa wamezunguka meza ya muuza magazeti eneo la Tabata-Chama. Maofisa Masoko wa Global Publishers. Kutoka kulia ni Yohanna Mkanda, Jimmy Haroub na Jordan Ngowi wakichukua maoni kutoka kwa muuzaji wa magazeti Stendi ya Tabata, Segerea. Jimmy Haroub akiviangalia vitabu vya Shigongo katika…
11 years ago
GPL01 Jun
BURUDIKA NA HABARI MOTOMOTO KUTOKA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS
Pata habari motomoto kwa kusoma magazeti ya Global Publishers Ltd ambayo ni Ijumaa Wikienda, Championi, Uwazi, Risasi, Amani na Ijumaa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3xKXNa1A11jWAMgSJgX36Cb6QL5yDewfrmsr-eHDCdc0dBHMRuYpr2ZRIYSGr9X0clfFYezWxhMgi6O-c9YdW4/jkuytytry.gif)
GLOBAL YAWAFANYIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI, Y-TONY, NATURE WAPAGAWISHA
Risasi Vibes KAMPUNI ya Global Publishers ambayo ni wachapishaji wa Magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Uwazi Mizengwe na Ijumaa Wikienda, Jumapili iliyopita iliwafanyia bonge la sherehe wauzaji wa magazeti na mawakala wao ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mawakala na wauza magazeti wa… ...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3X4vy2DFQrg/default.jpg)
GLOBAL TV ONLINE :SHUHUDIATAMASHA LA WAUZA MAGAZETI DAR LIVE LILIVYOFANA
![](http://api.ning.com/files/nII-N*HRVI05VuSfphZb96D8XYBkndiDxBpuueuamfdBzEcN1CuWbeTeqPFhFNRvGykh*6D1RhSdilJkV70oISoNsOmkFhaD/DSC_0996.jpg?width=650)
KAMPUNI ya Global Publishers ambayo ni wachapishaji wa Magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Uwazi Mizengwe na Ijumaa Wikienda, Jumapili iliyopita iliwafanyia bonge la sherehe wauzaji wa magazeti na mawakala wao ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mawakala na wauza magazeti wa jijini Dar.Sherehe hiyo ilifanyika kwa lengo la kuwakusanya wauza magazeti wote jijini Dar ili...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania