Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL ILIVYOWAANDALIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI MWANZA

Mwakilishi wa Global Publishers Masumbuko Ali, akizungumza na wauza magazeti wa Jiji la Mwanza. Muuza magazeti akisoma gazeti la Risasi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GLOBAL YAWAFANYIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI, Y-TONY, NATURE WAPAGAWISHA

Risasi Vibes KAMPUNI ya Global Publishers ambayo ni wachapishaji wa Magazeti ya  Amani, Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Uwazi Mizengwe na  Ijumaa Wikienda, Jumapili iliyopita iliwafanyia bonge la sherehe wauzaji wa magazeti na mawakala wao ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mawakala na wauza magazeti wa… ...

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI DAR LIVE KATIKA SHEREHE YA WAUZA MAGAZETI JANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, akisalimiana na baadhi ya wauza magazeti  baada ya kuwasili Dar Live Pichani kutoka kulia ni Katibu wa Mawakala na Wauza Magazeti, Msokolo,  wa pili ni mwenyekiti wake, Mzee Deo, katikati ni Eric Shigongo,  akiwa na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na Afisa Utawala wa Global Publishers, Soud Kivea… ...

 

10 years ago

GPL

MAOFISA MASOKO WA GLOBAL WATEMBELEA WAUZA MAGAZETI DAR

Maofisa wa Global sambamba na wasomaji wa magazeti wakiwa wamezunguka meza ya muuza magazeti eneo la Tabata-Chama. Maofisa Masoko wa Global Publishers. Kutoka kulia ni Yohanna Mkanda, Jimmy Haroub na Jordan Ngowi wakichukua maoni kutoka kwa muuzaji wa magazeti Stendi ya Tabata, Segerea. Jimmy Haroub akiviangalia vitabu vya Shigongo katika…

 

11 years ago

GPL

CHAMPIONI YAWANG'ARISHA WAUZA MAGAZETI MWANZA

Wakala wa magazeti ya Global Publishers jijini Mwanza, Khamis Kikasi (katikati mwenye kofia) akitoa tisheti za Championi kwa baadhi ya wauzaji wa magazeti jijini humo. Baadhi ya wauzaji wa magazeti jijini Mwanza wakiwa katika pozi baada ya kukabidhiwa tisheti kutoka gazeti la…

 

10 years ago

GPL

MAWAKALA NA WAUZA MAGAZETI WASHEREHEKEA MIAKA 17 YA KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akizungumza na mawakala pamoja na wauzaji wa magazeti Dar Live leo. Wauzaji na mawakala wa magazeti wakiwa kwenye sherehe hizo. Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho (kulia) akiwa na Ofisa Utawala wa Global, Soud Kivea. MAWAKALA na wauzaji wa…

 

10 years ago

Vijimambo

GLOBAL TV ONLINE :SHUHUDIATAMASHA LA WAUZA MAGAZETI DAR LIVE LILIVYOFANA


KAMPUNI ya Global Publishers ambayo ni wachapishaji wa Magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Uwazi Mizengwe na Ijumaa Wikienda, Jumapili iliyopita iliwafanyia bonge la sherehe wauzaji wa magazeti na mawakala wao ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mawakala na wauza magazeti wa jijini Dar.Sherehe hiyo ilifanyika kwa lengo la kuwakusanya wauza magazeti wote jijini Dar ili...

 

10 years ago

GPL

MACHINGA, WAUZA MAGAZETI WACHUKULIWA MALI ZAO JIJINI MWANZA

Polisi na askari wa Jiji la Mwanza wakiwa wamekusanya mali za machinga na kuzipakia kwenye gari. Baadhi ya machinga waliokamatwa wakiwa kwenye gari la polisi. Magari ya polisi yakiwa na mali za machinga.…

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS LEO IMETOA MIAMVULI KWA WAUZA MAGAZETI

Muuzaji wa magazeti wa eneo la Stendi ya Makumbusho akipokea muamvuli. Kushoto ni Afisa Usambazaji wa Global akimkabidi dada muuza magazeti wa eneo la Stendi ya Makumbusho.…

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YATOA ZAWADI KWA CHAMA CHA WAUZA MAGAZETI

Mkuu wa Idara ya Usambazaji na Masoko Global Publishers Bw.Lawrence Kabende (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya kitita cha shilingi laki tano Mwenyekiti wa Chama cha wauza magazeti cha jijini Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani