MAYWEATHER AFANYA BALAA KWENYE ‘BETHDEI’ YA CHRIS BROWN
![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAlCntOT*LgLHTQ1ZvZ9OKfotd4-BJ0zRuXobifqrrJV*d9YnvJqTPiIkIMWj7R6Xaez2AVquz-xelcy-PY5U9q/floydmayweatherdrainightclublasvegas.jpg?width=650)
Floyd Mayweather akiwa kwenye bethidei ya Chris Brown. NEW YORK, Marekani NI jeuri ya mkwanja! Ndivyo bondia Floyd Mayweather alivyoanza makeke ya kutumia mkwanja wake baada ya hivi karibuni kufanya balaa la maana kwenye siku ya kuzaliwa ya mwimbaji, Chris Brown. Chris Brown akifungua 'shampeni'. Hili ni tukio la kwanza kufanywa na bondia huyo baada ya kutoka kumshushia kichapo mpinzani wake, Manny Pacquiao, Jumapili...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Chris Brown kwenye tuhuma nyingine za kumpiga mwanamke…
Staa wa R&B wa Marekani Chris Brown amekuwa haishiwi headlines..baada ya matukio mfululizo yakimuhusisha na Polisi, headlines zimerudi tena kwake. Ukiachia lile tukio la kumpiga mwanamuziki mwenzake Rihanna mwaka 2009 na kutakiwa kutojihusisha na kosa lolote kwa miaka mitano hili ni tukio lingine lilolomrudisha kwenye mikono ya polisi huko Las Vegas. Jana jumamosi akiwa katika […]
The post Chris Brown kwenye tuhuma nyingine za kumpiga mwanamke… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo529 Aug
Chris Brown achukizwa na comment ya Marques Houston kwenye picha ya Karruache
11 years ago
Bongo531 Jul
Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya ‘Show Me’ (Kid Ink f/ Chris Brown)
9 years ago
Bongo518 Dec
Chris Brown ampindua Adele kwenye nafasi ya kwanza iTunes baada ya kuachia ‘Royalty’
![breezy royalty new](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/breezy-royalty-new-300x194.jpg)
Album mpya ya Chris Brown, ‘Royalty’ imeingia sokoni kwa kishindo.
Masaa machache toka iachiwe Ijumaa (Dec 18) imefanikiwa kuiondoa ‘25’ ya Adele na kushika namba moja kwenye chati ya album zilizouza kwa haraka kwenye mtandao wa iTunes. ‘25’ ya Adele sasa imeshuka hadi nafasi ya pili kwenye chati hiyo.
‘Royalty’ ni album ya saba kutoka kwa Breezy, iliyofatia baada ya ‘X’ aliyoitoa mwaka mmoja uliopita.
ROYALTY TRACKLISTING
1. “Back to Sleep”
2. “Fine By Me”
3. “Wrist” feat. Solo Lucci
4....
11 years ago
Bongo517 Jul
Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video)
Baada ya kuachia video ya ‘Anyway’ jana December 17 2015, Chris Brown amerudi na nyingine mpya ikiwa ni muendelezo wa pale ilipoishia kwenye video ya awali. Wimbo unaitwa ‘Picture Me Rollin’ na miondoko ya wimbo huu unafanana na ile ya Dr. Dre kwenye ngoma yake ya mwaka 1993 ‘Let Me Ride’… Video mpya ya Chris […]
The post Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video) appeared first on...
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi