Mbaroni kwa kumuua mumewe
MKAZI wa Kata ya Kisemvule, Tarafa ya Vikindu, wilayani Mkuranga, Husna Kisoma (16), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kusababisha mauaji ya mumewe. Kamanda wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe kwa maji ya moto
10 years ago
CloudsFM07 Nov
MBARONI AKIDAIWA KUMUUA MUMEWE KWA MAJI YA MOTO
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi mkoani hapa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumwagia maji ya moto mumewe na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku kijijini hapo na kumtaja aliyeuawa kuwa ni Evod Teola (62).
Alisema siku ya tukio mwanamume huyo alirejea nyumbani na kuanza mzozo na mkewe aliyemtaja kwa jina la Zelena Kiozya (55) ambaye...
11 years ago
Habarileo26 May
Mbaroni kwa kudaiwa kumuua dereva bodaboda
POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu watatu wakituhumiwa kumuua kikatili kwa kumchinja dereva wa pikipiki ‘bodaboda’ Frank Joseph (25) mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa mjini Mpanda kisha kumpora pikipiki yake.
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Mbaroni Katavi kwa kumuua dereva wa Bodaboda
POLIISI wilayani Mpanda, Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuua dereva wa pikipiki ‘Bodabodai, Frank Joseph (25), mkazi wa mtaa wa Nsemlwa kwa kumchinja shigo na kisha kumpora pikipiki...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-H9dAZOYRSd8/Xng3eT9S_MI/AAAAAAAC1f4/zX2hd0bjn7o52Bw9S9x9Y8eDajq6XkyQgCLcBGAsYHQ/s72-c/CrcmP1xWIAIjnXD-1.jpg)
ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-H9dAZOYRSd8/Xng3eT9S_MI/AAAAAAAC1f4/zX2hd0bjn7o52Bw9S9x9Y8eDajq6XkyQgCLcBGAsYHQ/s1600/CrcmP1xWIAIjnXD-1.jpg)
Ni kwamba mnamo tarehe 22/03/2020 majira ya saa 09:00 Asubuhi huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “NEGERO” iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika chumba namba 111 @ Victoria, Mwanamke mmoja aitwaye JESCA MICHAEL @ KUNGULU [28] Mhudumu wa...
11 years ago
CloudsFM06 Aug
INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAYE
Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).
Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Mbagala...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5iLqqYx8ZQqZslXyQ34vPBpWEv53mWe2hjTAW-BcO53GbPIg0aB8smu38D8DbZQn803SU0eC-Zp77Ws8lhcmT2/mke.jpg?width=650)
MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!
11 years ago
Habarileo04 Jul
Mke adaiwa kuhusika kumuua mumewe
MKAZI wa kijiji cha Vikonge wilayani Mpanda, Kitola Jeremia (45) ameuawa kwa kupasuliwa tumbo lake kwa kisu na utumbo wake wote kutolewa nje na watu wawili wanaodaiwa kukodishwa.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mbaroni wakidaiwa kumuua kikongwe
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua Edna Kajinga (70) mkazi wa Kijiji cha Katobe, wilayani Rungwe. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema...