Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia, Ruhuza kuwania tena uongozi NCCR-Mageuzi

>Chama cha NCCR-Mageuzi kitafanya Uchaguzi Mkuu wake Januari 18 mwaka huu, huku Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia na  Katibu Mkuu wake, Samwel Ruhuza wakijitosa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NCCR-Mageuzi yakanusha kumshinikiza Ruhuza kujiengua

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimeelezea kusikitishwa na uzushi kuwa, kilimshinikiza Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake, Samwel Ruhuza kujitoa kutetea kiti hicho katika dakika za mwisho siku ya uchaguzi mkuu wa chama hicho mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Mbatia: NCCR-Mageuzi haitajiondoa Ukawa

Mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi, James Mbatia.CHAMA cha NCCR - Mageuzi kimesema hakitajitoa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa vile lengo lake si mgawanyo wa madaraka bali Katiba.

 

9 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI AMJIBU MBATIA

Kamishna wa NCCR-Mageuzi wa Mkoa wa Ruvuma, Mchatta Eric Mchatta (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, Leticia Ghatti Mosore, na mwakilishi wa NCCR-Mageuzi, Hamlyn Erasto. Leticia Mosore (katikati) akisoma taarifa yake.…

 

11 years ago

Habarileo

Mbatia ahofia udini, ukabila NCCR-Mageuzi

MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameonya juu ya `virusi’ vya udini, ukabila na ukanda vilivyoanza kukinyemelea chama hicho na kutaka wanachama kuepuka dhambi hiyo. Aidha, ameonya kuwa chama hicho ni sehemu ndogo tu ya nchi, hivyo ni hatari kuanza kukumbatia mambo hayo.

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA AWANADI WAGOMBEA WA CHAMA NCCR-MAGEUZI KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akimtambulisha mwenyekiti wa kitongoji cha Pangara ,Humphrey Machange aliyepita bila kupingwa katika kitongoji hicho kwa tiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi.Mh Mbatia akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Maring'a.Wagombea wa nafasi ya Wajumbe wa Halmashauri wakiwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho uliofanyika katika kijiji cha Maring'a.Wananchi katika Jimbo la Vunjo wakiwa...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI, JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)…

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani