Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya City kuipa taji Azam FC leo?

KIVUMBI cha kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kitaendelea tena leo kwa mabingwa watetezi, Yanga na vinara wa ligi hiyo Azam kushuka katika viwanja tofauti kuwania pointi tatu muhimu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Azam FC waikaribisha Mbeya City

AZAM FC leo wanashuka dimbani kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi kusaka ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania dhidi ya Mbeya City. Katika michezo iliyopita ya ligi msimu huu Azam waliifunga Tanzania Prisons 2-1 Chamazi, wakaifunga Stand United kwao 2-0, na mchezo wa mwisho wakaifunga Mwadui kwao 1-0.

 

9 years ago

TheCitizen

Azam FC silence Mbeya City

Dar es Salaam. Azam FC yesterday displayed their football prowess when they pummeled Mbeya City 2-1 in a mouth-watering tie at Chamazi Complex on the outskirts of Dar es Salaam City

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City, Azam hatari

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam watakuwa na kibarua kizito dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani