Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mbowe katika mkutano wa hadhara mjini nansio, ukerewe, Mwalimu na Nassari makambako


Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe Freeman Mbowe, akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe jana. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua Nassari wakihutubia wananchi wa Makambako, mkoani Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBOWE AFANYA MKUTANO WA HADHARA MJINI BUKOBA, MWALIMU NA NASSARI MAKAMBAKO

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mamia ya wakazi wa Mji wa Bukoba mkoani Kagera, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa jana.Mratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Ziwa Victoroia, Renatus Bujiku, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua...

 

10 years ago

Vijimambo

MH. MBOWE AFANYA MKUTANO WA HADHARA WILAYA YA UKEREWE

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika  kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.Mbowe akisalimiana na mlemavu wa viungo alipowasili kwa chopa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe mkoani Mwanza juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA ACT CHAFAYA MKUTANO WA HADHARA NJOMBE NA MAKAMBAKO

 Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini. Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini. Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA KATIKA KAMPENI MJINI MAKAMBAKO NA NJOMBE

Umati wa wananchi wa Mji wa Makambako, Mkoani Njombe wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrence Masha akihutubia kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA KATIKA KAMPENI MJINI MAKAMBAKO NA NJOMBE LEO

Umati wa wananchi wa Mji wa Makambako, Mkoani Njombe wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrence Masha akihutubia kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA CCM WAFUNIKA KIBANDA MAITI MJINI UNGUJA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiwasalimia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AHITIMISHA MKUTANO WAKE WA HADHARA KWA KISHINDO MJINI SINGIDA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi (hawapo pichani) kando kando ya barabara,wakati wakielekea kwenye mkutano hadhara unaonfanyika katika uwanja wa People's mjini Singida,akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Nape Nnauye na viongozi wengine mbalimbali chama. Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi wakati akiwasili kwenye mkutano wa hadhara unaonfanyika katika uwanja wa People's mjini Singida jioni hii,akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani