Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Mbowe, Mbilinyi na Mwalimu kuunguruma leo Feb 20, 2015 Mbeya Mjini


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBOWE AFANYA MKUTANO WA HADHARA MJINI BUKOBA, MWALIMU NA NASSARI MAKAMBAKO

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mamia ya wakazi wa Mji wa Bukoba mkoani Kagera, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa jana.Mratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Ziwa Victoroia, Renatus Bujiku, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua...

 

10 years ago

Michuzi

mbowe katika mkutano wa hadhara mjini nansio, ukerewe, Mwalimu na Nassari makambako


Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe Freeman Mbowe, akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe jana. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua Nassari wakihutubia wananchi wa Makambako, mkoani Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI: KILICHOJILI MBEYA LEO: NI PROF. JAY, MAKAMU MWENYEKITI BAVICHA TAIFA, MH. MSIGWA NA MBILINYI

 Kabla ya kuelekea kwenye mkutano Njiani msafara wa Mh. Mbilinyi ukielekea kwenye mkutano Prof. Jay akizungumza na waandishi wa habari Kutoka kushoto, Prof Jay, Mh. Mbilinyi na Msigwa Prof. Jay akizungumza na wana Mbeya
 Mh. Msigwa akizingmza na wana Mbeya Juu na chini ni aliye vaa kimasai ni makamu mwenyekiti BAVICHA 


 

11 years ago

Michuzi

JK KUUNGURUMA LEO JIONI KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA .

Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa  ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma  huku  akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, leo Ijumaa, Machi 21, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya


Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AFANYA ZIARA WILAYA MPYA YA MKALAMA,KUUNGURUMA LEO LIVE STAR TV MKUTANO WA HADHARA MJINI SINGIDA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakielekea kukagua mradi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti linalounganisha wilaya za Meatu mkoani Simiyu na Mkalama, Singida wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kinana leo na viongozi mbalimbali wa chama hicho...

 

9 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA ATUA MJINI ZANZIBAR, KUUNGURUMA NA DK. SHEIN LEO UWANJA WA DEMOKRASIA aka KIBANDA MAITI JIONI HII

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai
 Mgombea Urais kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani