Mbunge abeza kauli ya RC Kagera
Mbunge wa Karagwe mkoani Kagera (CCM), Innocent Bashungwa amesema amri ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella ya kupiga marufuku mamalishe kuendelea na biashara siyo ufumbuzi wa tatizo la ugonjwa wa kipindupindu. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Jul
Kauli ya Mbunge Lusinde: Wananchi watoana ngeu.

Mbunge wa Mtera, Livingston Lusinde.Mbunge wa Mtera, Livingston Lusinde, juzi alisababisha mapigano yaliyojeruhi wapigakura wake kadhaa.
Baadhi ya wapigakura wake kumzomea wakipinga hoja zake alizokuwa akitumia kujinadi katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nkwenda wilayani Chamwino, mkoani Dodoma.Mkutano uliondaliwa na serikali ya kijiji ili kumpa nafasi mbunge huyo kuzungumza na wananchi wake juu ya mambo mbalimbali ya maendeleo aliyoyafanya kwa taktibani miaka minne na nusu.
Alianza...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Nape abeza Ukawa kuungana
Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo kikisema viongozi hao hawawezi kukaa zizi moja.
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Kinana abeza maandamano ya wapinzani
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amevishangaa vyama vya upinzani kwa kuendekeza maandamano na malumbano na Jeshi la Polisi badala ya kufanya kazi za kuwaletea maendeleo wananchi.
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Nape abeza ushirikiano, wasomi watoa angalizo
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema hatua ya viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuingia katika makubaliano ya kushirikiana “ni kaburi la vyama hivyo.â€
10 years ago
TheCitizen17 Oct
NYERERE & KAGERA WAR-4: Kagera War: Lessons and challenges
>Besides recapturing the Kagera Salient and driving Idi Amin out of Uganda, Tanzania’s second major success in the eight-month war lay in the organisation of its fighting force.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
19-February-2025 in Tanzania