Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ANOGESHA SHEREHE ZA WANAWAKE SINGIDA

 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, akitoa zawadi na michango mbalimbali kwa wasichana wa Shule ya Sekondari Mwankoko Manispaa ya Singida. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe akitekeleza moja ya majukumu yake kama mgeni rasmi, kwenye sherehe za siku ya wanawake mkoani hapa.Mhe. Mattembe, akifurahi pamoja na makundi mbalimbali ya wanafunzi. -Maandamano ya Wanawake wa Manispaa ya Singida kwenye sherehe ya siku ya wanawake. Mbunge wa Viti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AGEUKA KIVUTIO SHEREHE ZA WANAWAKE SINGIDA

 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, akitoa zawadi na michango mbalimbali kwa wasichana wa Shule ya Sekondari Mwankoko Manispaa ya Singida. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe akitekeleza moja ya majukumu yake kama mgeni rasmi, kwenye sherehe za siku ya wanawake mkoani hapa.Mhe. Mattembe, akifurahi pamoja na makundi mbalimbali ya wanafunzi. -Maandamano ya Wanawake wa Manispaa ya Singida kwenye sherehe ya siku ya wanawake. Mbunge wa Viti...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AGUSWA NA MAFURIKO MANYONI


Mwananchi wa Kijiji cha Kintinku akipeana mkono na Mhe Mbunge Aysharose Mattembe baada ya kukabidhi msaada wa maturubai kijijini hapo.
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Manyoni, ndugu Jumanne Makanda, Mbunge V/Maalum CCM mkoa wa Singida Aysharose Mattembe, Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Mhe. Daniel Mtuka na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kintinku, Patrick Anderson wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipowatembelea wahanga wa mafuriko Kijiji cha Kintinku.
...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA TAARIFA YA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2O15-2020


Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Singida Mjini, wakimpongeza Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (kulia) kwa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015-2020.

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Alexandrina Katabi, akizungumza katika mkutano huo.

Katibu wa UWT Singida Mjini, Maimuna Likunguni, akiendesha mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, George Silindu,...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA MADARASA MANYONI


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe, akikabidhi mifuko ya saruji kwa viongozi wa Wilaya ya Manyoni.
Muonekano meza kuu.
Wazazi wa wanafunzi wa darasa la sita na la saba wa shule ya msingi Sayuni waliofika shuleni hapo kushuhudia makabidhiano ya mifuko ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe.
Wanafunzi wa darasa la sita na la saba wa Shule ya Msingi Sayuni, wakiwa katika picha ya pamoja Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MATTEMBE ATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI ILONGERO



 Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (wa pili kushoto) akikabidhi msaada wa kompyuta tano na printa moja zenye thamani ya Sh.milioni 9.7 katika Shule ya Sekondari ya Ilongero iliyopo Wilaya ya Singida  mkoani Singida. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Eliya Digha, Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Mulagiri,  Diwani wa Kata ya Ilongero,  Issa Mwiru na Mkuu wa shule hiyo, Ramadhan James. Vifaa hivyo vikikabidhiwa. Wengine ni...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAOMOND USIPIME ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV

Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania, Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.Balozi akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania Bara na...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND USIPIME, ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV‏

Diamond akiwapa burudani mashabiki wake. Shabiki akicheza wimbo wa Mdogo Mdogo.…

 

9 years ago

CCM Blog

MBUNGE AYSHAROSE AUNGA MKONO UAMUZI WA RAIS DK. MAGUFULI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU MWAKA HUU

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema Rais Dk. John Magufuli ni kiongozi mwenye kujali maslahi ya Watanzania hivyo maamuzi ya kuwataka wananchi kusherehekea kumbukumbu ya Uhuru kwa kufanya kazi na usafi, umeonyesha dhamira safi ya kiongozi huyo kwa wananchi.

Amesema, uamuzi huo umejali maslahi ya taifa kwa sababu fedha nyingi zingetumika kwenye masuala yasiyokuwa na ulazima kwa wananchi.

Pia, ametoa rai kwa watumishi na viongozi wenzake wa serikali kufanyakazi kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Mlata ashiriki zoezi la usafi Manispaa ya Singida

IMG_1128

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Martha Mosses Mlata, akishiriki kutekeleza agizo ya rais Dk. John Pombe Magufuli la Watanzania wote kufanya usafi katika maeneo yao, kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru kutimiza miaka 54, kwa kufanya usafi kwenye chuo cha wasioona cha mjini hapa. Pamoja na kufanya usafi chuoni hapo, Mlata alitoa msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo viti vya plastiki 150.Thamani ya msaada huo, ni zaidi ya shilingi 6.3  milioni. IMG_1124 IMG_1132 IMG_1142 Mbunge wa viti maalum...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani