Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE KESSY ASIPIGWE, AJIBIWE HOJA ZAKE

Mbunge wa Nkasi (CCM),  Ally Kessy akisisitiza jambo. Mbunge wa Nkasi (CCM),  Ally Kessy wiki iliyopita  alilazimika kusindikizwa na askari wa Bunge la Jamhuri kuondoka katika viwanja vya eneo hilo kumnusuru na hasira za wajumbe kutoka Zanzibar waliokerwa na mchango wake kuhusu masuala ya Muungano. Kessy alisimama bungeni hapo kutoa mchango wake kuhusu Katiba ya Jamhuri akijikita zaidi katika suala la muundo wa Muungano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KESSY ASEMA RAIS DK.MAGUFULI, ATAKE ASITAKE LAZIMA AONGEZEWE MUDA

*Asema anasumbuliwa na marafiki zake, wanamuuliza nani baada ya Magufuli?
Na Said Mwishehe,Michuzi TVMBUNGE wa Jimbo la Nkasi Ally Kessy(CCM) ameliambia Bunge kuwa kuna kila sababu ya Rais Dk. John Magufuli aongezewe muda wa kuwa Rais huku akisisitiza kuwa Rais atake au asitake lazima aongeze muda.
Amesema yeye(Kessy) amekuwa akipata tabu sana kwani amekuwa akiulizwa na marafiki zake wa ndani na nje ya nchi kwamba baada ya Magufuli nani anafuata lakini jibu lake analowajibu ni kwamba Rais...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI NDELAKINDO KESSY AWAKUMBUKA WATOTO KATIKA KUUANZA MWAKA 2016.


Mkurugenzi wa Mambo ya nje wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki,Ndelakindo Kessy akizungumzia utaratibu ambao chama hicho umeuanzisha wa kusaidia watoto waishio katika mazingira magumu katika jimbo la Vunjo.Baadhi ya watoto kutoka kata 16 za jimboo la Vunjo walioandaliwa sherehe ya kuukarbisha mwaka mpya wa 2016 na Chama cha NCCR-Mageuzi katika jimbo la Vunjo. Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha NCR-Mageuzi,Corona Kundi akizungumza na watoto.
PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aunguruma Mwanza, ataka majibu ya hoja zake

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema licha ya kushambuliwa kwa mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba Mpya hakuna mtu aliyejitokeza kumjibu hoja zake, zaidi kumpiga vita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

HALIMA MDEE: Mbunge, mwanasheria anayesimamia hoja

LEO katika safu yetu ya Mwanamama namzungumzia Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA). Huyu ni mbunge kijana  ambaye baada ya kuwa mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KATIKA KATA MBALIMBALI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati 100 Kwajili ya Kumalizia Ujenzi wa Ofisi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mweziMmmoja wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge mteule wa jimbo la Singida Magharibi aanza kutekeleza kwa vitendo ahadi zake jimboni!

DSCN5358

Mbunge mteule jimbo la Singida magharibi (CCM),Elibariki Emmanuel Kingu,akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa vikundi nane vya wajasiriamali wanawake na vijana kata ya Puma juzi.Pomoja na kuvipa vikundi hivyo kila kimoja shilingi laki moja za kufungulia akaunti benki ya NMB,aliwaahidi mara tu watakapofungua akaunti,atawaingizia kila kikundi shilingi milioni moja ili kukuza mitaji yao.( Picha zote na Nathaniel Limu). Na Nathaniel Limu [IKUNGI] Mbunge mteule wa jimbo la Singida magharibi...

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM

 Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake. Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake. Padri Plasdus Ngabuma enzi za Uhai wake. Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani kwake Kijichi Dar es Salaam leo mchana. Majeneza yenye miili ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe na ndugu zake, Plasdus Ngabuma na Casablanga Haule yakiwa...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA FUONI ZANZIBAR ATIMIZA AHADI ZAKE KWA KITUO CHA AFYA FUONI.

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe A bass Ali Hassan Mwinyi, akitembelea Kituo cha Afya cha Fuoni Zanzibar kinachotowa huduma kwa Wananchi wa Jimbo hilo na jirani wakati akitimiza ahadi yake kwa kutuo hicha, akipata maelezo kutokwa kwa mdhamini wa kituo hicho Muuguzi wa Afya ya Jamii Bi Mwaka Pandu Makame akitowa maelezo ya eneo lao la kuchomea taka za kituo hicho.Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Adass Mwinyi akitembezwa katika kituo hicho na Madaktari wa Kituo hicho, akiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani