MBUNGE KESSY ASEMA RAIS DK.MAGUFULI, ATAKE ASITAKE LAZIMA AONGEZEWE MUDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ltfAP60l5Q4/XuBaXfBg57I/AAAAAAALtRE/05ElMpXks18cWHTyVZ06AyXk3G8CTQO9wCLcBGAsYHQ/s72-c/kessy24.jpg)
*Asema anasumbuliwa na marafiki zake, wanamuuliza nani baada ya Magufuli?
Na Said Mwishehe,Michuzi TVMBUNGE wa Jimbo la Nkasi Ally Kessy(CCM) ameliambia Bunge kuwa kuna kila sababu ya Rais Dk. John Magufuli aongezewe muda wa kuwa Rais huku akisisitiza kuwa Rais atake au asitake lazima aongeze muda.
Amesema yeye(Kessy) amekuwa akipata tabu sana kwani amekuwa akiulizwa na marafiki zake wa ndani na nje ya nchi kwamba baada ya Magufuli nani anafuata lakini jibu lake analowajibu ni kwamba Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Mrema ataka Kikwete aongezewe muda
![Augustine Mrema](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Augustine-Mrema.jpg)
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Vunjo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Augustine Mrema (TLP), amesema kuna haja Rais Jakaya Kikwete aongezewe muda wa kuongoza nchi.
Alisema kama Rais Kikwete ataongezewa muda, atapata muda wa kukamilisha mchakato wa Katiba ambao ndiye aliyeuanzisha.
Mmoja wa wajumbe waliohudhuria kikao kati ya Rais Kikwete na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilichofanyika mwanzoni mwa wiki Ikulu ndogo ya Kilimani...
10 years ago
BBCSwahili12 May
Rais Nkurunziza asema uchaguzi ni lazima
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYhQrn6TCZPcrHdKvi*7rbVrsyUxXc7WMem66yLN0yDGw3IWgkag2cXW6yqXORrW1RA0AhPmLhZA3Wl9LlQSm0-D/bunge.jpg?width=650)
MBUNGE KESSY ASIPIGWE, AJIBIWE HOJA ZAKE
9 years ago
Habarileo02 Dec
Mrema asema hajutii kumnadi Rais Magufuli
MWENYEKITI wa Taifa wa chama cha siasa cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amesema hakufanya makosa na wala hajutii kumnadi Rais John Magufuli kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa sababu alitambua Watanzania wamelamba dume la maendeleo.
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI ASEMA BADO SIKU 12 KUWA RAIS WATtANZANIA
9 years ago
Habarileo11 Dec
Mbunge wa Chadema amfagilia Rais Magufuli
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Mara, Joyce Sokombi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amempongeza Rais John Magufuli, kwa kasi yake ya kuwawajibisha watu na watumishi wa serikali wanaojinufaisha na mali ya umma.
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
LIVE!! Rais Magufuli anahutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda huu Dodoma!
Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge muda huu kutoka Bungeni Dodoma.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk. John Magufuli anaelezea kuwa mambo yote vipolo atayatatua na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake.
Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ilikuikamilisha.
Suala la Muungano anaahidi kulifanyia kazi na kulitatua.
Awali:
Baada ya Rais kuingia Bungeni...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-apnuq13vzlw/VotFOa_2SsI/AAAAAAAAZA8/Hl4PPvbWugc/s72-c/IMG_3315%2B%25281024x683%2529.jpg)
MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI NDELAKINDO KESSY AWAKUMBUKA WATOTO KATIKA KUUANZA MWAKA 2016.
![](http://1.bp.blogspot.com/-apnuq13vzlw/VotFOa_2SsI/AAAAAAAAZA8/Hl4PPvbWugc/s640/IMG_3315%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-zlxrcBXfib4/VotFUkWdEQI/AAAAAAAAZBU/zd7Dgp9xy28/s640/IMG_3334%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-p5oAHWrHyS4/VotFXV3gcBI/AAAAAAAAZBc/JUZOPW3zXuc/s640/IMG_3335%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-B9-LDrW5jdM/VotFZUDXQcI/AAAAAAAAZBk/XdbmYJJWWYI/s640/IMG_3336%2B%25281024x683%2529.jpg)
PICHA ZAIDI...
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/nPNu1QbaJ7w/default.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10