Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Machali atua ACT - Wazalendo

>Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi ), Moses Machali amejiunga na Chama cha ACT - Wazalendo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Uchaguzi Arusha kuahirishwa kufuatia kifo cha mbunge wa ACT Wazalendo.

Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Estomih Malla, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya rufaa ya KCMC Mjini Moshi, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Marehemu Malla alikimbizwa KCMC baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa katika mikutano ya kampeni za chama chake  jumatano iliyopita huko Ngaramtoni Arusha.

Katika makao makuu ya chama cha ACT-Wazalendo Arusha Mwenyekiti wake mkoani humo Samwel Kivuyo, amesema wakiwa katika mkutano...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO

 Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam leo mchana. Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.
  Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo.

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

 

10 years ago

Mwananchi

Machali akabidhiwa kadi ACT, atoa ya moyoni

Mbunge wa Kasulu Mjini ,Moses Machali amekihama rasmi chama hicho na kujiunga na ACT - Wazalendo huku akiwaeleza wananchi waliofika kumsikiliza katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kiganamo mjini hapa kuwa hatasita kuachana na chama chake kipya endapo kitaonekana kinatetea mafisadi na viongozi wanaokandamiza demokrasia.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Moses Machali

Wilaya ya Kasulu inakabiliwa na wimbi kubwa la uhalifu na kila wanapokamatwa hata kama kuna vithibitisho vya kutosha, wahalifu hao huachwa bila kuchukuliwa hatua za kisheria na hivyo kuzidi kwa vitendo vya uhalifu. Utafanya nini ili kukomesha tabia ya polisi kuwaachia watuhumiwa kienyeji?

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO‏

 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.   Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama...

 

9 years ago

TheCitizen

ACT-Wazalendo yet to get Ikulu candidate

The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) is holding internal meetings to appoint the party’s presidential flag-bearer for the October 25 General Election.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo

Chama cha ACT-Wazalendo juzi kimehitimisha siku 10 za awamu ya kwanza kwa kutembelea mikoa minane ya Tanzania Bara, huku wakisisitiza kaulimbiu yao ya utu, uzalendo na uadilifu.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT Wazalendo kuimarisha kilimo

Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira amesema umaskini wa Mtanzania hauwezi kuondolewa kwa maneno, bali ni katika kutekeleza shughuli za kilimo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani