MBUNGE MBATIA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA BISHOP MOSHI JIMBONI VUNJO
Mh James Mbatia akizungumza jambo katika chumba maalumu cha kujifunzia Kompyuta katika shule ya Sekpndri ya Bishop Moshi jimboni Vunjo.
Mh Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo,kulia ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMBATIA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA BISHOP MOSHI JIMBONI VUNJO
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo wakati alipotembelea mazingira ya shule hiyo. Mhe. Mbatia akitizama moja ya chumba katika bweni la wasichana la Shule ya Sekondari Bishop Moshi , chumba ambacho kimewekewa miundombinu mizuri ikiwemo milango kila mahali jambo ambalo linasaidia pindi kunapotokea majanga yakiwemo ya moto. ...
10 years ago
MichuziMBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
MichuziMBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO.
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Mbatia atwaa Vunjo, Komu mshindi Moshi Vijijini
Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka mshindi katika jimbo la Moshi Vijijini lililokuwa linaongozwa na Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami kupitia CCM.
10 years ago
MichuziWENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziMBUNGE JAMES MBATIA ACHANGISHA FEDHA KUNUSURU ELIMU JIMBO LA VUNJO
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziMHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO
11 years ago
GPLMHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO
Mh. James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao.…
10 years ago
VijimamboMBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
MBUNGE WA CHADEMA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI ASHIRIKI
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akiwasili katika mkutano huo.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ,Ndolakindo Kessy akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ghalani ,mji mdogo wa Himo ,mkutano uliokuwa na lengo la kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Vunjo kukipa chama hicho viti vingi katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji.
Mh Nassari na Mh Mbatia wakitoa salamu kwa mamia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania