Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBATIA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA BISHOP MOSHI JIMBONI VUNJO

Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo wakati alipotembelea mazingira ya shule hiyo. Mhe. Mbatia akitizama moja ya chumba katika bweni la wasichana la Shule ya Sekondari Bishop Moshi , chumba ambacho kimewekewa miundombinu mizuri ikiwemo milango kila mahali jambo ambalo linasaidia pindi kunapotokea majanga yakiwemo ya moto. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA BISHOP MOSHI JIMBONI VUNJO

Mh  James Mbatia akizungumza jambo  katika chumba maalumu cha kujifunzia Kompyuta katika shule ya Sekpndri ya Bishop Moshi jimboni Vunjo.Mh Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo,kulia ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(Suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa Bweni.Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia .
Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo.Mkuu wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi ya Mbuzi dume...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mwananchi

Mbatia atwaa Vunjo, Komu mshindi Moshi Vijijini

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka mshindi katika jimbo la Moshi Vijijini lililokuwa linaongozwa na Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami kupitia CCM.

 

10 years ago

Michuzi

WENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi akiendelea na mikutano ya kampeni katika kijiji cha Kisangesangeni kata ya Kahe akiwanadi wagombea wa nafasi za Uenyekiti.Msafara wa Pikipiki ukiongoza kuelekea kijiji cha Ngaseni kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya chama cha NCCR-Mageuzi.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.  James Mbatia akiwa na viongozi wa Chama hicho  mkoa wa Kilimanjaro wakati alipotembelea eneo hilo.Mh James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

MHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO

Mh. James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao.…

 

9 years ago

Michuzi

MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Vijimambo

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc.
Kikosi cha timu ya Himo fc.Kikosi cha timu ya Wazalendo fc.Heka heka zikiendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani