Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchungaji Msigwa adai CCM inakwepa kodi ya majengo

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameituhumu CCM kuwa ni miongoni mwa taasisi zinazokwepa kulipa kodi ya majengo na kuisababishia hasara Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM atamba kumng’oa Mchungaji Msigwa

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (39) amesema anayo nia na uwezo wa kumuangusha katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).

 

9 years ago

Michuzi

CHIKU ABWAO: HERI YA MONICA MBEGA WA CCM KULIKO MCHUNGAJI MSIGWA WA CHADEMA NAOMBA NICHAGUENI MIMI SAFARI HII

MGOMBEA  Ubunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT Wazalendo Bi Chiku Abwao(pichani) amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Mobica Mbega ( CCM) kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa ( Chadema)hivyo ametawa mwaka huu wananchi kumchagua yeye
Akizungumza katika mkutano wake wa kampeni za Ubunge jana  kata ya Kihesa alisema iwapo atakuwa mbunge wao atahakikisha anakuwa mbunge wa mfano wa kuwaletea maendeleo sahihi.
Kwani alisema kuwa historia ya jimbo hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchungaji Msigwa ajibu mapigo

WAZIRI Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wamiliki wa Kampuni ya uwindaji ya kitalii ya Green Mile Safari Ltd (GMS), wajibu hoja za msingi dhidi ya tuhuma...

 

9 years ago

Habarileo

Abwao amponda Mchungaji Msigwa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Chiku Abwao amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Monica Mbega wa CCM kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Msigwa ambeza JK kuhusu ujangili

>Mbunge wa Iringa Mjini,  Mchungaji Peter Msigwa (Chadema)  amesema kama Rais Jakaya Kikwete anadhamira ya kweli kutokomeza ujangili nchini ni vyema akasafisha kwanza Serikali na chama chake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji Msigwa kizimbani, asomewa mashtaka

Mgombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mchungaji Peter Msigwa na watu wengine watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Iringa leo na kusomewa mashtaka manne, ikiwemo la uvunjivu wa amani.

 

9 years ago

Michuzi

MTENGA AMPA ONYO MCHUNGAJI MSIGWA.

Bw . Hassan Mtenga Katibu wa Ccm Mkoa wa Iringa
CHAMA cha mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Iringa kimelaani  shambulio lililofanywa na wafuasi wa chama cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) kwa wananchi waliokuwa wakitoka katika mkutano wa kampeni za mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli juzi.
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Bw.Hassan Mtenga aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa chama chake kinawapa pole wananchi waliopigwa na wafuasi hao wa Chadema waliotumwa na Mgombea Ubunge wa Chadema jimbo la...

 

11 years ago

GPL

MCHUNGAJI MSIGWA KWA NILIYOFANYA, SIHITAJI KAMPENI 2015

Stori: Haruni Sanchawa IRINGA ni miongoni mwa mikoa ambayo siku za nyuma ilikuwa ni tegemeo la chakula kwa taifa letu, ikiwa ni mojawapo ya iliyounda kitu kilichoitwa Big Four, kwa uzalishaji wa chakula, mingine ikiwa ni Mbeya, Ruvuma na Rukwa. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, uzalishaji huo umekuwa ukishuka, jambo linalosababishwa pamoja na mambo mengine, mabadiliko ya hali ya hewa na usimamizi mbaya wa viongozi wa vijiji...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA BAVICHA AMVAA MCHUNGAJI MSIGWA UBUNGE IRINGA MJINI

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Leonce Marto amechukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Iringa kupitia chama chake hicho.Amechukua fomu hiyo siku moja tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia  bunge la 10 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo uhai wake utakoma Agosti 20, mwaka huu.Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, jimbo la Iringa Mjini limekuwa likiongozwa na Mchungaji Peter Msigwa ambaye pia alichaguliwa kupitia Chadema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani