Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Kheri Abdul Mahimbali alamba nondozzz yake ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management

 Mdau Kheri A. Mahimbali akiwa na mzee wake Abdul Ahmed Dau (kushoto) na mtoto wa simba Ahmed Dau baada ya kula nondoz ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management. Mdau Kheri A. Mahimbali akiwa na professor wake Professor David MacDonald mtaalam wa mas-ala ya Geology. Wadau kutoka kushoto bwana Haruna Mbeyu "Meya wa London" akiwa na Al-watan wa Leicester bwana Abdul Dau akifuatiwa na graduate bwana Kheri Mahimbali na wa mwisho bwana Ahmed Dau "mtoto wa simba" wakiwa uwanja wa ndege wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mdau Nzumbe Nyanduga alamba Nondozzz yake ya nternational Master (MA) in Management, Law and Humanities in Sports nchini Uswiss

Bwana Nzumbe Nyanduga (kushoto) amekuwa Mtanzania wa kwanza kupata stashahada ya “International Master (MA) in Management, Law and Humanities in Sports” inayodhaminiwa na FIFA. Pichani ni Bw. Nzumbe Nyanduga anaonekana akipokea stashahada hiyo kwenye Chuo Kikuu cha Neuchatel, Uswiss kutoka kwa Mkuu wa Chuo mbele ya Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Bw. Christian Karambeu ambae alikuwa ndio Patron wa darasa la 2014. Bw. Nyanduga amepata stashahada hiyo yenye distinction akiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Saida Yunus Chui alamba nondozzz

Mdau Saida Yunus Chui akiwa ni mwenye furaha sana muda mfupi baada ya kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership katika Chuo Kikuu cha Birmingham University, kule kwa Bibi (Uk).Mdau Saida Yunus Chui akiwa akiwa ndani ya ukumbi wa Chuo Kikuu cha Birmingham University, tayari kwa kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership.Mdau Saida Yunus Chui akiwa na hazbendi wake,Ahmed Mashaka (kulia) pamoja na Dada yake mada baada ya kula...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU NGULI CHIEF MKWAWA ALAMBA NONDOZZZ INGINE YA UZAMILI KUTOKA CHUO KIKUU HURIA

MDAU NGULI WA GLOBU YA JAMII MHANDISI MKWAWA AKA CHIEF AMELAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA UZAMILI KTK UONGOZI WA BIASHARA-MBA (FINANCE) KUTOKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. HII NI SHAHADA YA PILI YA UZAMILI KUTUNUKIWA MWAKA HUU WA 2014, BAADA YA ILE YA MASTER OF ENGINEERING SCIENCE (METALLURGY) KUTOKA CHUO KIKUU CHA CURTIN (WASM) NCHINI AUSTRALIA MWEZI AUGUST 2014. Mhandisi Mkwawa akivalishwa shada la maua na mai waifu  wake mamaa Warda muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili...

 

10 years ago

Michuzi

The Journey of 10 BG Tanzania Scholars who will join University of Aberdeen and Robert Gordon University in UK to pursue their MSc Degree studies in Oil and Gas

The British Council Tanzania started the journey of BG Tanzania scholarship on February 2014 with promotion and awareness creation to the Universities in different regions in Tanzania, receiving applications and selection of 10 scholars followed by scholarship awarding to 10 scholars.
The British Council conducted a pre-departure briefing on 15 August, 2014 as part of preparation for their studies in UK to 10 BG Tanzania Scholars who won the award to study Master’s degree in oil...

 

10 years ago

Michuzi

Mpiganaji Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne alamba Nondozzz yake katika Chuo Kikuu Huria jijini Dar

Mpiganaji Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne (kati) akiwa na wahitimu wenzake katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam,wakati alipolamba Nondozz yake. Mdau Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wenzake mara baada ya kulamba nondozz zao katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki. Monyo na Mdogo Wake.Mdau Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne akiwa na Baba yake Mzee Zerubabeli Moyo mara baada ya...

 

11 years ago

TheCitizen

EAC partner states advised to design fiscal policies for oil, gas management

East African Community (EAC) partner states have to design fiscal regimes which will enable them to manage their oil and natural gas wells, it was observed here on Wednesday.

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Zainab Mwinyijuma alamba nondozz yake

Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma (wa tatu kulia) akiwa na wahitimu wenzake wa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika mahafali ya Chuo Kikuu cha The University Of Northampon,UK. Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na Mumewe pamoja na watotowao.Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na Mama.

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Khamis Mkotya alamba nondozz yake

Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani