MDOSI APORA MKE WA MTU
![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzYYAm0pZFD-QMZcXqGANb7*bRb8Gka1i5It7TfqYE8ahmRM5pCmzk9bcUviVC-O*1sqbtDir8JtbgV9A6NrjdlX/Mdosi.gif?width=650)
Gladness Mallya na Hamida Hassan Jamaa mmoja anayefanya kazi kwenye kiwanda kimoja cha plastiki jijini Dar aliyejulikana kwa jina moja la Ramesh mwenye asili ya kiasia (Mdosi), anadaiwa kumpora mke wa mtu na kuishi naye kinyumba na kuiacha ndoa yao ikiyumba, Ijumaa lina ushahidi. Â ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1PbpCBB
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7l-wHj5OnnlF5cRYGvWkpSl4m9PC1BWWJURUBuG7NCe3C-dWORDwz6afU38SaEyBzCNWgziybt560lUa1j5zMqi/MYGODZ.jpg)
MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
Stori:Â Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4wc48-rReGE76qrFHy5qUTEiGom15oc5ZZ9pFFg47HZk3-xqkgUZdNa5gVhpsKiY5F*IYhuXJkmXF0hEKj7u51/12.jpg?width=650)
KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?
NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha tena na nyinyi marafiki katika uwanja wetu wa elimu ya uhusiano. Hujakosea kusoma makala haya maana hapa ndipo tunapojifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulijifunza mada iliyokuwa inahusu nani anayestahili kuhongwa kati ya mwanaume na mwanamke. Bila shaka msomaji wangu ulipata elimu, kimsingi nilisema kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake, kutobweteka na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El9ADcWbV0*s9hceHmhBQ3*xYquB-vEut1oYBy50QwzngRzjhALEQ*0IkLK3eVEZaL7Wl8a7tq8BsspzFwxMnDF5/f.jpg?width=650)
KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2
HATUNA budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena katika uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa la uhusiano. Siku zote ukikubali kupokea na kufanyia kazi yale tunayopeana kila Jumamosi kupitia safu hii. Leo ni siku ya wapendanao (valentine‘s day). Ni vyema basi ukaitumia siku hii kutafakari na umpendaye. Kumpa zawadi, kutafuta sehemu tulivu na kujadili uhusiano wenu.Ifanye siku hii kuwa mwanga mzuri wa penzi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIkwe79Xf*bMKoF4R9FbewQXeyINX6RzAGzhSuWOwPYDD5JgyVpjIVKOxRsXcX26sWJiOYVK9626gtBKHQVuzb2/mkewamtusumu.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mgnnnV9ntRItxHQhi1SKIKeN6l4WUCeqnQRI91ECgap2fDYpLO4w14hWIyhJ0sg8G8eEpfaziKeK1oikYbvIbw9/mke.jpg)
MKE WA MTU OVYOOO!
Stori: Dustan Shekidele, Morgoro Ovyooo! Wakati serikali ikipiga marufuku disko la mitaani maarufu kwa jina la ‘Vigodoro’ bado kuna baadhi ya mikoa inapuuza agizo hilo ambapo mwanamke mmoja ambaye mumewe anafanya kazi kwenye mgahawa uliopo ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani hapa, aliyetajwa kwa jina la Mama Abdul (pichani), amejitoa fahamu kupitia Kigodoro na kujikuta akisaula nguo hadharani. Pichani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DQkSn2rNf*i*SJMkgQwdZt1uaNND0Q0vrlYSkseZKTtleG7niIvnTowc*hVC68S1f*i5fXNX3LTye1nV9bUWkas/mke.jpg?width=650)
MKE WA MTU ANYOFOLEWA SIKIO
Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza
AISEE!
Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini hapa ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa ni hawara yake. Consolata Edward akionyesha jeraha katika sikio lake. Tukio hilo lilitokea Desemba 16, mwaka jana ambapo mwanamke huyo alidai kuwa alikuwa akizungumza kwa simu na mfanyakazi mwenzake ambaye anauza naye chakula...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfWpYK0hlylUQSsVr2y0v2m403stBd4H3MNFwdcAyh78iZJliUF3bcEhMbhkrSPyOOt7RmhuUpU39HDEPoP1B-n9/BVR.gif?width=650)
BVR YAMPONZA MKE WA MTU
Mama Khadija anayedaiwa kupigwa na mumewe.
Hamida hassan
VIOJA! Zoezi la uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu unaoendelea jijini Dar es Salaam juzi kati ulimponza mwanamke mmoja, Mama Khadija baada ya kupigwa vibaya na mumewe kisha kufukuzwa, baada ya kuchelewa kurudi nyumbani akitokea kituoni kujiandikisha. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1MDdj39 ...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrJ-2NFdVIvvtehsKdlk4s8FH32a4GE5bTeyzQNUw-jFOQY44LJNYPy1hk2yWHDy5wgVQKH4nZXHOomN*TWHyBAF/mkee.jpg?width=650)
MKE WA MTU ACHANWA VIWEMBE
Gabriel Ng’osha AMA kweli dunia katili! Mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Asha Idd (27), mkazi wa Tabata jijini Dar, amepata majeraha mwilini na kichwani kufuatia kuchanwa na viwembe na mtu aliyedaiwa kumkopesha fedha kiasi cha shilingi laki moja (100,000) na kushindwa kumrejeshea, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Akiwa na majereha baada ya kujeruhiwa kwa viwembe. Duru za habari zilieleza kwamba, kabla ya kufanyiwa kitu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1coQdwSdM*LPYfDuKsQfm0-BVVmLA8r7syHis4dcrAJgQ*JBwMdsX-uW7zP4aFNoET*Nc*cOqI0*P3CLrNIZbRFn/ujeruhi.jpg)
MKE WA MTU AJERUHIWA AKIFUMANIA
Stori: issa mnally
UBABE! Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la Niachie amegeuka mbogo na kumchoma bisibisi bosi wake, Amina ‘Mama Zai’ aliyemfumania akiwa na mumewe aitwaye Amri. Amina au Mama Zai akionyesha jeraha alilojeruhiwa na mfanyakazi wake wa ndani baada ya kumfumania akiwa na mumewe. Tukio hilo lilitokea juzikati...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania