MEYA KINONDONI MH. YUSSUF MWENDA AFUTURISHA WANANCHI WA MANISPAA YAKE
Meya wa Manipaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda amewataka wananchi wa Manispaa yake na nchini kote kuwasaidia watoto yatima na wasiojiweza ili kupunguza tatizo la watoto wa mitaani na mayatima ambao wamekuwa wakiongezeka kila siku jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa futari aliyoiandaa kwa wananchi wa Manispaa yake, viongozi wa Kiserikali na kidini, Dar es Salaam juzi Meya huyo alisema kuwa Manispaa yake ni kubwa na hivyo endapo watu watachukua maamuzi ya kusaidia watoto hao basi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMEYA MANISPAA YA KINONDONI ANAYEMALIZA MUDA WAKE YUSUPH MWENDA AZINDUA UZIO WA KISASA SHULE YA MSINGI MIKOCHENI A NA KUWAAGA RASMI WANANCHI WA KATA HIYO
(PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA WETU)KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-I9vfyf3mGko/VZvY7QMaKCI/AAAAAAAHnjo/EVLp8MzLMyM/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara
10 years ago
VijimamboMEYA WA KINONDONI, YUSUPH MWENDA ATWAA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA
10 years ago
MichuziMEYA MWENDA WA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda Tuzo ya Meya Bora katika Bara la Afrika katika kundi la Majiji ya Kati na kuyabwaga majiji mengine mbalimbali.
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (The United Cities and Local Government of Africa- UCLGA) na kupewa jina la Rais wa Angola ‘President Jose Eduardo Dos Santos- Africa Mayors Award’ ni za mara ya kwanza kufanyika Barani Afrika.
Tofauti na Tuzo za Tanzania,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WCUJ9OW5V6U/VSrU8wYK1MI/AAAAAAAHQxw/NfNGoYkn2RM/s72-c/FSA_001.jpg)
MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-WCUJ9OW5V6U/VSrU8wYK1MI/AAAAAAAHQxw/NfNGoYkn2RM/s1600/FSA_001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s2sotdyf83k/VSrU9HupzsI/AAAAAAAHQx0/sEbsf-aZHdE/s1600/FSA_003.jpg)
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Chadema yateua Meya Manispaa ya Kinondoni
Veronica Romwald na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Konondoni, kimempitisha Diwani mteule wa Ubungo, Boniface Jacob (Chadema), kuwa mgombea umeya wa Manispaa ya Kinondoni, huku akiwakilisha mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Mgombea huyo alikuwa akiwania nafasi hiyo huku akipambana na diwani mwenzake mteule wa Kata ya Mbweni, Abdunel Elibariki (Chadema) ambaye alishindwa kutamba.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Manispaa ya Kinondoni yaibuka mshindi wa jumla tuzo ya Meya 2015
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda.
… zilzioandaliwa na ALAT
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Manispaa ya Kinondoni ya Jijini Dar es salaam imeibuka mshindi wa wa Jumla ya kwenye tuzo zilzioandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) katika kutimiza miaka 30 ya ALAT kwenye mkutano wa 31 wa Jumuiya hiyo unaoendelea jijini Dar es Salaam.
Katika halfa hiyo ya tuzo ambapo Rais Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi, uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ALAT, pamoja na wadau...
10 years ago
VijimamboMEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI SOKO LA MAWASILIANO SIMU 2000
Na Mwandishi wetu
MSTAHIKI Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni.
Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano ...
10 years ago
MichuziMSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI ZAWADI ZA PASAKA KWA YATIMA
Akikabidhi msaada huo Meya Yusuph Mwenda aliwataka watanzania kuwa na moyo wa kusaidia watoto hao hususan katika msimu wa Sikukuu ikiwa ni njia mojawapo ya kuwafariji watoto hao.
“Hakuna anayependa kuona watoto hawa wanaongezeka mitaani, Na...