Mfuko wa Pensheni wa PSPF yavutia wengi katika maonesho ya sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam leoMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisalimiana na baadhi ya wanachama wapya wa mfuko huo, waliojiunga wakati wa sherehe za siku ya PSPF iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere kunakofanyuika maonyesho ya 38 ya biashara ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAVUTIA WATU WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Akizungumza katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba, Ofisa wa benki hiyo, John Titus amesema kuwa banda lao linashughulika na kufungua akaunti na kumuhudumia mteja.
Aliongeza kuwa Benki ya CRDB pia imeweka Mobile Branch ambayo hufanya kazi zote zinazofanywa na benki hiyo ikiwemo huduma za kuweka fedha na kutoa.
Titus alisema pia...
10 years ago
MichuziSIKU YA PSPF YAFANA SABASABA WENGI WAJIUNGA NA MFUKO
Siku ya PSPFiliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF ilifana na kuvutia mamia ya wananchi waliotembelea maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Siku hiyo ni maaluma kwa ajili ya kutoa elimu ya Mfuko wa PSPF kwa umma ili waweze kupata uelewa mpana wa sekta ya Hifadhi ya Jamii hususan bidhaa na huduma zinazotolewa na PSPF, kwa mwaka huu, PSPF ililenga kuhimiza watanzania kujiunga na...
11 years ago
MichuziNSSF YAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA
Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF), Chiku Said akiwasikiliza wateja waliofika katika banda la NSSF kwa ajili ya kupata elimu na uandikishwaji. Kwa sasa shirika lina aina mbili ya uachama yaani wanachama wa hiari na ule wa kawaida. Katika kuhakikisha shirika linapanua huduma zake za hifadhi ya jamii ya watanzania wengi, NSSF imekuja na mpango maalum wa kuandikisha na kukusanya michango kwa wakulima , wajasiriamali, wachimbaji madini wadogo na wafanyabiashara ndogondogo.
10 years ago
GPLBALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
11 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF ATEMBELEA BANDA LAO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake....
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Kampuni ya simu ya mkonononi TIGO yavutia maonesho ya Sabasaba
Banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo lililopo Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam yanayoendelea.
Baadhi ya washiriki wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam yanayoendelea wakipata hududuma mbalimbali katika banda la tigo.
Watoa huduma wa Kampuni ya simu tigo wakiendelea kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi wanaoshiriki katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar...
11 years ago
GPLBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI, MH. KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
9 years ago
GPLMFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL WAZINDUA MFUKO MPYA
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED WAZINDUA MPANGO WA KUWAKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WA MFUKO HUO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10