Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ubunge Chadema afariki, kuzikwa leo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepata pigo baada ya mgombea wake wa ubunge Jimbo la Lushoto, Mohamed Mtoi (39) (pichani), kufariki dunia baada ya gari alilokuwa akisafiria kutumbukia korongoni. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Zubery Mwombeji, alisema Mtoi alifikwa na mauti saa saba usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Wilaya Lushoto alikokimbizwa kwa matiabu baada ajali hiyo kutokea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI

Mgombea wa Ubunge, jimbo la Lushoto kwa ticket ya CHADEMA (Mohamed Mtoi) kafariki dunia katika ajali ya gari aliyopata baada ya kutoka kuzindua Kampeni yake tarafa ya Mlola. Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla. Gari alilopata nalo ajari marehemu
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo:...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chadema afariki akijibu swali

Mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema na mweka hazina, Jimbo la Muheza mkoani Tanga, Rashid Mhina amefariki ghafla wakati akihojiwa na wapigakura.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wapata mgombea ubunge Kalenga

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imemtangaza Grace Tendega kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kalenga. Jimbo hilo lipo wazi baada ya kifo cha mbunge wake, William Mgimwa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema wampitisha rasmi mgombea ubunge Chalinze

 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempitisha Mathayo Torongey kuwa mgombea rasmi wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema ahukumiwa miezi sita

Mgombea ubunge katika Jimbo la Kilombero mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijuakali amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kumtukana ofisa mtendaji wa kata.

 

10 years ago

GPL

MSANII WA KOMEDI ‘DIFENDA’ AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO

Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ enzi za uhai wake. MSANII wa komedi aliyejipatia sifa katika filamu za Mchawi Pesa, Yamini, Saa Mbovu, Kikaango na nyingine nyingi, Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili jijini Dar. Katibu wa Chama cha Komedi Tanzania, Neto Nazaleth amethibitisha msiba huo na kusema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na figo, ini...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema Dodoma mjini apata dhamana

Ulinzi mkali leo umewekwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma ili kuzuia wafuasi wa Chadema waliokwenda kusikiliza kesi inayomkabili mgombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Benson Kigaila na kusababisha lango la kuingilia lifungwe.

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI

Marehemu Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ enzi za uhai wake. MSANII mkongwe wa filamu nchini, Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Mwili wa Mzee Kankaa unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Ali Maua jijini Dar es Salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani