Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea urais ampa ushindi Lowassa

Mgombea urais Chama cha Tanzania Labour (TLP), Macmillan Lyimo amepingana na matokeo ya tafiti za kisiasa yaliyotongazwa hivi karibuni na taasisi mbili, akisema kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika Septemba, mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ndiye angeshinda kwa kishindo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO MKUU WA CHADEMA ULIOFANYIKA LEO NA KUWAPITISHA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mkutano Mkuu wa CHADEMA ulianza kwa kuimba nyimbo ya taifaShehe Rajabu Katimba akiomba Dua wakati wa mkutano mkuu wa CHADEMA uliofanyika leo Mchungaji Zakaria Kakobe akitoa neno la mungu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu uliofanyika leo    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mlimani...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa mgombea urais CHADEMA

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,Edward Lowassa amechukua fomu ya kuwania urais kupitia tiketi ya CHADEMA

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa athibitishwa mgombea urais Ukawa

MKUTANO Mkuu wa Chadema umempitisha kwa kauli moja aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa kuwa mgombea wa kiti cha Urais wa chama hicho na baadaye ikaelezwa kuwa, ndiye atakayebeba jahazi la umoja wa vyama vinne vya upinzani vianvyounda Ukawa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

Mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa asisitiza kutumia TEKNOHAMA

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinachoungwa mkono na  Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema Sera yake anayoitumia ya Elimu kwanza si kwa mfumo uliopo sasa bali atabadilisha mfumo mzima na kuufanya kuwa wa TEKNOHAMA.

Amedai teknolojia hiyo ataifanya iweze kuwafikia wananchi kwa wepesi kwa kutumia rasilimali zilizopo kama Gesi asilia, madini ,vyanzo vya utalii na fedha zilizopo kwa kuwa anaamini Serikali bado ina pesa...

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE EDWARD LOWASSA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA ANAYEBEBA BENDERA YA UKAWA

Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa.

Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).

Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani