Mgonjwa wa Dengue agundulika Kigoma
Wananchi mkoani hapa wametakiwa kufanya usafi wa mazingira ndani na nje ya kaya zao, ili kuepuka ugonjwa wa dengue kubainika kuwa na mgonjwa mmoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV24 Oct
Mgonjwa wa Ebola agundulika Marekani.
Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini Newyork.
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...
10 years ago
BBCSwahili24 Oct
Mgonjwa wa Ebola agundulika Newyork
11 years ago
Mwananchi24 Jul
‘Hakuna mgonjwa mpya wa dengue’
11 years ago
TheCitizen25 May
Fear as Kigoma reports 1st case of dengue fever
10 years ago
Michuzi12 Aug
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Mnaigeria agundulika kutumia dawa
10 years ago
GPLWEMA AGUNDULIKA NA GONJWA LA AJABU
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.
Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...