Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnaigeria agundulika kutumia dawa

Mnaigeria Chika Amalaha amesimamishwa kwa muda michezo ya Jumuiya ya Madola..

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

WHO:Ni sawa kutumia dawa za 'Zmapp'

Dawa ambazo bado zinafanyiwa majaribio zinaweza kutumiwa kuwatibu wagonjwa wa Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanariadha wa kenya adaiwa kutumia dawa

Mwanariadha wa mbio za marathon kutoka kenya Rita Jeptoo amepatikana kuwa alitumia dawa za kusisimua misuli zilizopigwa marufuku

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama NHIF watakiwa kutumia maduka ya dawa

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewataka wanachama wake kupata huduma za dawa katika maduka yaliyosajiliwa na mfuko huo pindi wanapozikosa kwenye hospitali au vituo vya afya. NHIF...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashoga wasio na HIV watakiwa kutumia dawa

Shirika la afya duniani, limewaasa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kutumia dawa za kupunguza makali ya HIV hata ikiwa hawana HIV.

 

5 years ago

Michuzi

KINONDONI YAPULIZA DAWA HOTELI ZA KITALII KUDHIBITI CORONA KWA KUTUMIA MAGARI YA ZIMAMOTO

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kupambana vikali kuthibiti kuenea kwa virusi vya COVID 19 (Corona) kwa kupuliza dawa katika hotel za kitalii zilizopo katika Halmashauri hiyo.

Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati uliowekwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Daniel Chongolo, Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, Mstahiki Meya Benjamini Sitta, pamoja na Mganga mkuu Samweli Laizar kwa pamoja, katika kuhakikisha kuwa maambukizi ya Virus hivyo hayasambai kwa wananchi na hivyo wanaendelea kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA

 Na Father Kidevu Blog, Dar es Salaam Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea ambapo kampuni hiyo itaisaidia NIMR teknolojia mpya ya kufanya ugunduzi wa dawa za binadamu kwa kutumia mimea.
Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam pembezoni mwa kongamano la 28 la kisayansi la NIMR, ambapo mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo Dk. Mwele Malecela amesema hatua hiyo ni muhimu katika...

 

10 years ago

Bongo5

Wanasayansi watengeneza dawa kutumia ndizi zinazoweza kuua virusi vya HIV, Hepatitis na mafua

Wanasayansi wametengeneza dawa kutumia ndizi zinazoweza kuua virusi vya aina mbalimbali vikiwemo vya HIV, Hepatitis na mafua. Inatumainiwa kuwa dawa hivyo mpya inaweza kuwa na muhimu katika kupambana na virusi vingi hatari. Dawa hiyo iligundulika miaka mitano iliyopita na kuaminika kuwa tiba ya virusi vya HIV lakini ilisababisha madhara ambayo wanasayansi sasa wamekabiliana nayo. Dawa […]

 

9 years ago

Bongo5

Hussein Machozi asema ameng’atuka kwenye muziki kukwepa vishawishi vya kutumia dawa za kulevya

machozi-2

Hussein Machozi ambaye hapo jana ametangaza kuachana na muziki amesema kuwa kuna wasanii wengi ambao hujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutoka na stress.

machozi-2

Stress anazozizungumzia Hussein ni pamoja na kushindwa kufanya vizuri kwenye muziki kama ilivyomtokea yeye, na pia maneno ya watu wanaowasema vibaya wasanii wanaoamua kuachana na muziki kuwa wamefulia.

“Ngoja leo niwaeleze jambo watanzania unajua kuambiwa umefulia inaumiza sana, hivyo kuna kundi kubwa la wasanii wameingia katika...

 

11 years ago

StarTV

Mgonjwa wa Ebola agundulika Marekani.

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini Newyork.
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani