Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. CHIKAWE AMWAGA MISAADA YA MABATI 100 NA JEZI ZA MIPIRA NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (Kulia), akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Nditi, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee katika Kata hiyo ya Nditi wakati alipofanya ziara katika kata hiyo iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Waziri Chikawe alitoa mabati 100 kwa ajili ya ujenzi ya Ofisi Kuu ya CCM katika Kata hiyo ya Nditi. Waziri wa Mambo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHIKAWE AMWAGA MISAADA YA MABATI NA JEZI ZA MIPIRA NACHINGWEA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (Kulia), akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Nditi, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee katika Kata hiyo ya Nditi wakati alipofanya ziara katika kata hiyo iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Waziri Chikawe alitoa mabati 100 kwa ajili ya ujenzi ya Ofisi Kuu ya CCM katika Kata hiyo ya Nditi. Waziri wa Mambo ya...

 

11 years ago

Michuzi

MH. CHIKAWE AWAMWAGIA MISAADA MAMA LISHE MJINI NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akimpa msaada wa boksi lenye vyombo mbalimbali Mama Lishe wa Soko Kuu mjini Nachingwea mkoani Lindi leo. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo ambayo itawasaidia katika biashara yao. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AMKABIDHI MKUU WA WILAYA NACHINGWEA MABATI 2000 KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Regina Chonjo mabati 2000 kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule 20 za Sekondari wilayani humo. Waziri Chikawe ametoa msaada huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa agizo kwa kila mwana jamii nchini kuchangia ujenzi wa maabara katika shule za Kata nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea,...

 

10 years ago

GPL

DC KINONDONI AKABIDHI MIPIRA NA JEZI

Makonda akizungumza jambo. Wachezaji wa timu mbalimbali za Wilaya ya Kinondoni wakimsikiliza Makonda (pichani hayupo). Msanii wa muziki wa injili, Stara Thomas akizumgumza jambo kwenye hafla…

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KOMBE LA CHIKAWE YASHIKA KASI NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akimkabidhi Kapteni wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Ubungo Stars ya Kata ya Namapwia, wilayani Nachingwea, Hassan Abbas zawadi ya mpira wa miguu baada ya timu hiyo kuongoza Ligi katika Kata hiyo. Timu nne zilishiriki mashindano hayo ya Kata na kufanikiwa kutengeneza timu moja ambayo itashiriki katika mashindano ya Tarafa ya Ruponda na baadaye kufika ngazi ya wilaya ambapo mshindi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya TTCL katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo, ambapo viongozi wa Mkoa, Wilaya pamoja na mamia ya wananchi kutoka vijiji vilivyonufaika na mtandao huo wa mawasiliano vya Kiegei A, B, Namatunu, Nanjihi, Kilimarondo, Mbondo, Nahimba na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA MAABARA

mwenyekitMwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Iddy Mnyampanda akizungumza shule ya sekondari Kinyeto.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mkoani Singida, Lazaro Nyalandu ametoa mchango wa mabati 420 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa shule mbili za sekondari za Kata za Mtinko na Kinyeto.Mchango huo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Jimbo hilo kuchangia katika ujenzi wa maabara mbalimbali kwenye shule za sekondari za Jimbo...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AMALIZA ZIARA YAKE JIMBONI NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akipokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Kipara-Mtua, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi kabla ya kuzungumza nao kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo na kujua kero mbalimbali zinazowakabili viongozi hao. Aidha, Waziri Chikawe aliwataka viongozi hao kuwa na umoja ili kukipa nguvu chama chao hasa katika kipindi hiki wanapoelekea katika uchaguzi wa Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani